Mexico vs Portugal TV1

Ronaldo atabaki kuwa mchezaji bora zaidi ya Messi kwa kuwa ana uwezo wa kufanya mengi uwanjani, ana uwezo wa ku assist, kufunga. Japo shida yake ni moja hawezi kukaba na huwa harudi kkaba
Messi anajua kufunga, kukaba, kutoa pasi za mwisho na kubwa zaidi kutoa burudani..... wachezaji aina ya Ronaldo ni wengi ila wachezaji aina ya Messi ni nadra.
 
Ronaldo atabaki kuwa mchezaji bora zaidi ya Messi kwa kuwa ana uwezo wa kufanya mengi uwanjani, ana uwezo wa ku assist, kufunga. Japo shida yake ni moja hawezi kukaba na huwa harudi kkaba
Mshukuru tu anawachotea marefa
Maana alifaa kula red kila game
 
Ronaldo atabaki kuwa mchezaji bora zaidi ya Messi kwa kuwa ana uwezo wa kufanya mengi uwanjani, ana uwezo wa ku assist, kufunga. Japo shida yake ni moja hawezi kukaba na huwa harudi kkaba
ronaldo anaeeza ku assist kuliko mess? tupe takwimu tuone.
 
kaka palipo na ukweli basi Nyonge mnyongeni Aki yake Mpeni Hakuna Mpinzani wa TV1 Kwa sasa Tanzania ni The Best Television 4 sports.
Ndio tv ya home inayokuja kwa kas ktk michezo

Si NBA, BOXING, EPL NA SASA CONFEDERATION

NAIMAN NA WORLD CUP WATARUSHA

NDIPO WATAKAPOSOMBA WATU WENGI

TV 1 NI BEST KWA MICHEZO KWASASA HAPA TZ HANA MPINZAN
 
TV1 wanarusha kutoka Kweśe Sports, ila ni nzuri sana, wanajitahidi
 
Ronaldo atabaki kuwa mchezaji bora zaidi ya Messi kwa kuwa ana uwezo wa kufanya mengi uwanjani, ana uwezo wa ku assist, kufunga. Japo shida yake ni moja hawezi kukaba na huwa harudi kkaba
Haaah aaah uwezi kumfananisha Messi na vitu vya kijinga,,,na ni watu wachache sana wasiojua mpira watakuunga mkono
 
Ronaldo atabaki kuwa mchezaji bora zaidi ya Messi kwa kuwa ana uwezo wa kufanya mengi uwanjani, ana uwezo wa ku assist, kufunga. Japo shida yake ni moja hawezi kukaba na huwa harudi kkaba

Jamani bado uwa munamfananisha genius na pampers???? Ronaldo kazi yake kubwa kupewa na kufunga,,,,wakati messi mkokotaji. Ndugu yangu sometimes muwe wakweli basiii,,,,Messi hafananishwi na player yyoyote,,hata The Genuine phenomenon DIEGO ARMANDO MARADONA NA PELE hawafui dafu hapo.
 
Back
Top Bottom