Mexico vs Portugal TV1

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,981
2,000
angalieni mechi kati ya ureno vs mexico Live kupitia kituo bora kabisa Tanzania kwa sasa TV1
 

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
2,358
2,000
Kwa mpira huu,timu za Ulaya kwenye Wrld Cup zinakazi,kombe litaENDA South America!!
 

Blessed Jr

Senior Member
Nov 17, 2016
135
250
Sasa hivi kuna System Video Referees, na imeshaanza kutumika,
Portugal wamefunga goli *System Video Referees* Wameto maamuzi kuwa it was an offside
 

Blessed Jr

Senior Member
Nov 17, 2016
135
250
Ronaldo atabaki kuwa mchezaji bora zaidi ya Messi kwa kuwa ana uwezo wa kufanya mengi uwanjani, ana uwezo wa ku assist, kufunga. Japo shida yake ni moja hawezi kukaba na huwa harudi kkaba
 

lukesam

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
10,686
2,000
Huwa najiuliza sana MUFC tulimuuza chicharito baada ya kumpata nani bora zaidi!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom