Mkuu Safari, nilikuwa sijaiona hii picha. Upo juu sana Mkuu wangu. Umenifanya niwe na huzuni na furaha kwa wakati mmoja. Sikutegemea tena kuona picha yake. Pana wakati alimtumia jamaa picha amtafutie timu za kucheza Ulaya ila wakati ule sisi kama Wanafunzi, uwezo wetu na kufahamiana na watu kulikuwa chini sana.