Methali. . . .

> Ganda la mua la jana,
uchafu tupa jalalani.
> Mgaagaa na upwa,
anataka kuogelea >Siri ya mtungi,
kamuulize mfinyanzi.
> Hakuna masika,
yasiokua na mvua.
 
> Ganda la mua la jana,
uchafu tupa jalalani.
> Mgaagaa na upwa,
anataka kuogelea >Siri ya mtungi,
kamuulize mfinyanzi.
> Hakuna masika,
yasiokua na mvua.

Niiiiice. . .
. . . Mfa maji HAJUI KUOGELEA.
 
Embu tujaribu kuzi'mordenize' kidogo ziendane na maisha ya kileo.

. . . Lisemwalo lipo kama halipo . . . HALIPO.
. . . Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu, lakini hakosi KUJINASUA.
. . . Pole pole YACHELEWESHA.
. . . Dawa ya moto ni MAJI.
. . . Fuata nyuki UTOLEWE MANUNDU.
. . . Kawia UCHELEWE.
. . . Mgeni njoo MWENYEJI AINGIE GHARAMA.
. . . Samaki mmoja akioza MTUPE.
. . . Ukitaka uzuri SHARTI ULIPIE.

nazi advance mordenize hizi zako lol

lisemwalo lipo kama halipo...huo ni umbea
ndege mjanja akinaswa na tundu bovu si mjanja tena.
dawa ya moto ni fire extinguisher maji huzidisha moto.
Fuata nyuki ukajifunze kuchangarika.
ukitaka uzuri ni sawa ila usiwe wa kichina.
Lol
 
Hahahaha. . . CM namba moja imetulia sana.
Ntakua naitumia pale panapohitajika.

. . . Msema kweli HAJUI KUDANGANYA.
 
Ndo ndo ndo,zikiwa nyingi zinajaza pipa
mcheza kwao,hana mahusiano mazuri na jirani zake
 
Bandu Bandu ndugu yake Patel Sasa Yuko India
Zimwi likujualo Hilo lazima linafugwa na mzee wa busara nyumba ya pili
Asiyefunzwa na mamaye.. Mama yake ni kilaza
samaki mkunje mpaka akome
kidole kimoja kikiwa cha Kati ni matusi
 
Hahahaaa, zimekaa kiucheshi zaidi.
 
Haba na haba hujaza mahaba.
Simba mwenda kimya ni shoga.
Mtaji wa maskini ni majungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom