Aloyce Mkwizu Member Dec 19, 2016 70 53 Jan 29, 2018 #1 Methali ipi kati ya hizi inafaa kutiliwa maanani katika shughuli zetu za kila siku. Subira yavuta heri vs Ngoja ngoja huumiza matumbo. Maoni yenu wakuu.
Methali ipi kati ya hizi inafaa kutiliwa maanani katika shughuli zetu za kila siku. Subira yavuta heri vs Ngoja ngoja huumiza matumbo. Maoni yenu wakuu.
Mwifwa JF-Expert Member Apr 3, 2017 46,976 122,307 Jan 29, 2018 #2 Subira yavuta heri, mimi navuta bangi. Bora vyuma vilegee tu
Me I and my self JF-Expert Member Sep 16, 2016 4,029 8,638 Jan 29, 2018 #3 Mwifwa said: Subira yavuta heri, mimi navuta bangi. Bora vyuma vilegee tu Click to expand... Hii hapa mkuu mi naweka
Mwifwa said: Subira yavuta heri, mimi navuta bangi. Bora vyuma vilegee tu Click to expand... Hii hapa mkuu mi naweka
Mwifwa JF-Expert Member Apr 3, 2017 46,976 122,307 Jan 29, 2018 #4 shiu yang said: Hii hapa mkuu mi naweka Click to expand...