Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,972
- 165,436
- Thread starter
-
- #481
mficha uchi hazai! Aliyetunga hii kitu lazima alinyimwa majambooooooooooooooooz!
1.tanzania bila ukimwi inawezekana
Ukistaajabu ya Lowasa ......................
Ka hadi upigwe Fimbo ndo unaelewa, basi punda angefika chuo kikuu
kufa kwa kiu baharini sio ujinga
msuguano ndio huleta joto
Raha ya Uji-kuzungusha Bakuli