Methali mpya

Bujibuji nakushukuru kwa kutukumbusha hayo maneno ya Baba wa Taifa letu. Nakubaliana nawe kabisa kuwa Nchi haiwezi kuendelea kwa kutegemea misaada toka nje peke yake, Mwalimu alikwenda mbele zaidi kwa kusema nchi itajengwa na wananchi wenyewe na hasa wale wenye Moyo!!
 
Swadaktaaaa Kiranja mkuu!! Wanja huonekana tu kwenye mwanga!! Gizani nani atauona??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…