Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Mkuu umenikumbusha hilo jina Tengema ni kitambo kiasi sasa Mc Tilly Chizenga
Kiongozi we acha tu,yaani wakati ule game ya mchangani kiwango chake kama ligi kuu bara leo!vipaji vya ukweli!hii game wanaocheza Barcelona leo kulikuwa na timu inaitwa RUNGWE ya kijitonyama watoto wadogo wadogo wanacheza gonga hakuna mfano...kuna game moja nilinunua barafu uwanjani mpaka barafu linayeyuka RUNGWE bado wanamiliki mpira wao tu!