BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Usimsahau mtu mbadiiii Angél Di Maria
Anakusanya kijiji 😀
Usimsahau mtu mbadiiii Angél Di Maria
And vice versa is true 😀😀Haka kajamaa kalikua kanatusumbua Sana kwenye elclassico
KAkishika tu mpira,mi mapigo yangu ya Moyo yanaenda kasi.
Barcelona bila Messi Ni wepesi zaidi ya unyoya.
Ili nawe uhamie huko? PSG
NdioIli nawe uhamie huko? PSG

Noma Sana, PSG ina mastaa wengi sema kinawaangusha ubishooo kupita kiasiAnakusanya kijiji![]()
Mtoa mada ni shoga.
Kama HAJI MANARA
Noma Sana, PSG ina mastaa wengi sema kinawaangusha ubishooo kupita kiasi
Nina imani sasa mbape ataacha upumbavu wake na NeymarUsijali kamanda wangu, Messi atawaweka sawa na wataacha utoto....kama ilivyo kwa fundi suarez akiwa liverpool na uruguay aling'ata sana wachezaji 🤣, baada ya kuhamia Barca mbona Messi alimbadilisha na akawa mtu mpole na mstaarabu, na wamekuwa marafiki zaidi ya ndugu vile 😀
Nina imani sasa mbape ataacha upumbavu wake na Neymar
Kaka mkubwa kafika mbona watanyooka..