Message za CCM kwenye simu za mkononi

Wote ambao hampendi kupokea ujumbe huu, mnaweza kuuzuia kwa kutuma neno STOP ALL (kwa herufi kubwa) kwenda #15622

mkubwa! Naweka sasa hivi maana naogopa nikivunja kakimeo kangu ntapata wapi hela tena za kununua kengine na hii hali
 
Yamewafika shingoni, R.I.P ccm
Habari zenu wadau wa jamiiforums,
Leo bila ya woga naomba niseme yaliyonikuta: bila ya kujali wepesi au uzito wa suala hili.
Kuna SMS imeingia kwenye simu yangu ya mkononi nayo ipo hivi;

Sender:CCM
'CCM ipo imara. Watanzania tusikubali kuweka rehani umoja na amani ya nchi yetu'

Hii message imetumwa kwa malengo gani? TCRA inaruhusu masuala kama haya? Naomba nieleweshwe kwa wanaoelewa haya maswala vizuri.
 
Hebu tuelekeze vizuri, ukituma neno hilo "STOP ALL" siitafungia na simu zingine zenye umuhimu?

haifungi simu zingine mkuu.....inastopisha msg za kipuuzi kama hizo za CCM....msg zako zingine zitaingia kama kawaida.....
 
hiyo msg hata mimi niliipata....tena sio moja....zilikuwa zinaingia kama mvua.....nimeghadhibika sana....ikabidi nipige huduma kwa wateja wakanieleza jinsi ya kublock.....ni upuuzi mkubwa sana.....
Enhe Preta!Nieleze namna ya kublock hizo msg toka kwa chama cha malori maana sitaki kupokea hata mesg moja.
 
Habari zenu wadau wa jamiiforums,
Leo bila ya woga naomba niseme yaliyonikuta: bila ya kujali wepesi au uzito wa suala hili.
Kuna SMS imeingia kwenye simu yangu ya mkononi nayo ipo hivi;

Sender:CCM
'CCM ipo imara. Watanzania tusikubali kuweka rehani umoja na amani ya nchi yetu'

Hii message imetumwa kwa malengo gani? TCRA inaruhusu masuala kama haya? Naomba nieleweshwe kwa wanaoelewa haya maswala vizuri.

Ikitumwa kwangu nawapeleka mahakamani.
 
Ikitumwa kwangu nawapeleka mahakamani.
Mkuu umesahau kwamba na mahakama zote za Tz zinapokea maagizo toka ofisi ya ccm lumumba? Angalia hukumu isije ikatoka ukatakiwa na kulipia gharama zote za uendeshaji wa kesi kama yaliyompata mheshimiwa Mpendazoe.
 
TCRA is a mere toothless lion..dog.. to siphon our resources and embellish their own bellies!!! What does it regulate anyway? Just same piece from same jigsaw...!
 
CCM HAWAACHI KUOTA MCHANA KWEUPE,KATIKA KAMPENI ZAO ZA KUWAPUUZA WATANZANIA WAMEANDAA ULAGHAI MWINGINE ILI WAPATE KURA ZA WAPUMBAVU.
1.KUANZISHWA BENKI YA WAKULIMA
2.KUANZISHA BENKI YA VIJANA
KATIKA UANZISHWAJI BENKI HIZO SERIKALI INA MPANGO WA KUWAHADAA WATZ KWA KUWAAMBIA WATAWAKOPESHA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU,KUANZIA MILLION 1MPAKA 15.LAKINI KATIKA UOMBAJI HUO UNAHUSISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KAMA MAWAKALA WAO ILI UPATE MKOPO,CHA KUCHEKESHA ZAIDI INAAMINIKA CCM IMEJIPANGA KUTUMIA KITAMBULISHO CHA URAIA NA HASA CHA KUPIGIA KURA KAMA MTAJI WA KUWAPATA HAO WALENGWA.NA KUHAKIKISHA WANAOCHUKUA MIKOPO WOTE WATAIPIGIA CCM UCHAGUZI KUANZIA UDIWANI WA 2014 NA UCHAGUZI MKUU 2015.LAKINI WAJUMBE WENGI WANA WASIWASI KUWA VIJANA WALIO WENGI WAMEELEVUKA SANA NA WATAKULA PESA ZAO NA KUWAPIGIA WAPINZANI.CCM ILITUMIA MKUTANO WA JANGWANI KAMA KIPIMA JOTO SASA WAMEANZA KUINGIWA NA WASIWASI MAANA MKUSANYIKO ULE HAUKUKAMILIKA BILA YA PESA SASA WANAJIULIZA BILA VIKINDI VYA SANAA KWELI WATAKUBALIKA,MJUMBE ALIYE KARIBU NA NAPE KASEMA CHADEMA INAWANYIMA USINGIZI KULIKO HATA MAGONJWA YA WAZAZI WAO AU WANANDOA WAO.
BINTI MREMBO LUMUMBA CCM
:confused2:
 
TCRA na CCM ni kama vile chupi na makalio kwani havitengamani, kumbuka wakati wa uchaguzi kulikuwa na message nyingi sana za namna hiyo na watu wakalalamika saaana lakini hakuna ufafanuzi wowote toka TCRA mpaka leo hii, Sijui tuwatukanie nini ili wajue watu hatupendi huo mchezo wao

sema ni kama samaki hai na maji. chupi na ........hutenganishwa sana tu. kwani wewe huvaa chupi maisha yako yote, kila saa? hata wakati wa kuwa na mkeo kwenye 6x6?
 
Kesi ya nyani(ccm) unampelekea ngedere(tcra)? Hzo zinaitwa bulk sms ccm wamelipia kwa kampuni ya cm,hapo kuna mawili either ccm walikua na list ya no za kuwatumia or kampuni husika ilitumia namba za wateja wake!!
 
Hawana jipya badala ya kutekeleza ahadi wanatisha watanzania ,anyway ndio wanatuaga kwa staili hii
 
Back
Top Bottom