Message ya Ajabu ya X-Mass!!

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,543
Reaction score
7,383
"Wakati tunaelekea X-mass 2011, nakuombea furaha yako iongezeke kama bei ya petrol, utu wako uwe juu kama posho za wabunge, mashaka yako yapungue kama kura za CCM 2010, ila Umaarufu wako uongezeke kama ule wa Dk Wilbrod Slaa, hekima nazo zizagae kama bidhaa za Mchina, uwepo wako hapa JF uwe na thamani kama kiungo cha albino, ila Usiadimike sana kama Umeme wa Tanesco.... Wish You Merry X-Mass and Happy New Year!!" (This message is from Anna)

 
asante - source suredi ya Lizzy

message sio ya ajabu
 

hakika nimeifurahia!!thanks mkuu!!!
 
Thenx !!!!!
 
Kongosho hili Jukwaa hupotei...Lol, mi Luv u!!
 


big thanks mpaka ujiuzulu kwa shukrani.
 
mmh sizinga,
hivi wewe ni wa kule kwa akina mwashilindi na mwashitete nini.

Asante kwa zawadi ya sikukuu.
 
mmh sizinga,
hivi wewe ni wa kule kwa akina mwashilindi na mwashitete nini.

Asante kwa zawadi ya sikukuu.

Halafu we Mamdenyi...huko ndo wapi huko?? Me dnt knw that...ntajie basi, wapi huko?
:eyebrows:
 
Halafu we Mamdenyi...huko ndo wapi huko?? Me dnt knw that...ntajie basi, wapi huko?
:eyebrows:

huko ni mbozi,
hao wawili walikuwa kwenye kundi la wale wachuna ngozi wa mwanzo mwanzo.
 
Utishe kama Asha babu:focus: Asante kwa meseji
 
Ila usiadimike kama miguu ya nyoka.
 
Mi kopa u za kiongo kiongo maana wa kikweli kweli is watching me.

Ila avatar yako inatetemesha bandama langu.

Kila nikiiona neno linalokuja kichwani ni ''Kubwa la maadui hi ha ya kichina china Yang Shang dang''

Kongosho hili Jukwaa hupotei...Lol, mi Luv u!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…