Message to the Tanzanian PPL from the PPL of Rwanda

Kijana huogopi Rais wako? kijana ameongea vizuri lakini naogopa kwa sababu Rais wake hataki kusikia changamoto, anataka kusemwa vizuri tu.
 
Lol... Kweli jMali? Umeamuwa kuja nje mkavumkavu?
Very impressed na jinsi kijana wa Kinyarwanda alivyomkosoa Raisi Kagame kwa hoja.

Kwa kweli kijana huyu anastahili pongezi kwa kuwa jasiri, na umahiri wake katika kujenga hoja.

cc nyumba kubwa, jMali, lawmaina78, Kishimbe wa Kishimbe, JustDoItNow, Kibona

Lol... Hongera kwa kujitoa mhanga ila ninauhakika wa 99.9% kuwa wewe ndio yule wakala wa FDLR kwa jina ni jMali!!! Kwa hiyo umeamuwa kuja nje mkavumkavu? Hii sasa inaonyesha dalili ya mvua, si bure inawezekana mmepata habari Kagame anataka kuwafwata mwenyewe tena bila kusubiri baba zenu UN, sema ungefanya vizuri kutusaidia majina yako kamili na ya wazazi wako ili tupate kujuwa mlihusika vipi kwenye mauwaji ya kimbali au kiufisadi, hongera kiswahili naona ushakijuwa bara!bara! Naona course ya kiswahili pale ILOS kwa mhaya uliimaliza vizuri! Sema unakiandika vizuri kuzidi unavyokiongea au accent ya kinyarwanda ndio inakuharibia?
Wewe bwana wacha ujinga urudi kwenu tusaidizane majukumu, hao watu unaowapaka mafuta usitufananishe nao hata siku moja kwani hawakuwahi kuuwana kama nyie mlivyofanya kwenu, uko kupokezana madaraka inatokana na system walioachiwa na Nyerere(RIP) sasa nyinyi mlishindwaje kuijenga mpaka mkaja kufukuzwa na Kagame? Mbona unatamani mambo ya watu bila kufwatisha walivyofanya wao kusudi wafike walipofika? Nyerere(RIP) kaongoza hiyo nchi tokea miaka ya 60 mpaka 80 mwishoni na hakuishia hapo baada ya kung'atuka alihakikisha kila ajaye lazima amkabizi kijiti mwenzake na wewe kwenu mpeni Kagame wakati akamilishe msingi bora sio kumpeleka puta kana kwamba kuna system mliyokuwa mmetuachia. JustDoItNow wewe ndio umebakia na wenzako team-FDLR naona kijiwe cha jungle la DRC kimeanza kunuka na bado mtalia sana kwa kukubali kuwa waathilika wa wazazi wenu, pole sana na msanii wenu.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama huyu kijana yupo Rwanda.
 
Sidhani kama huyu kijana yupo Rwanda.

Acha kuuliza kama mwalimu wakati jibu unalo! Nilishasema tangu zamani jMali na wenzake teamm-FDLR niwaathilika wa wazazi wao na walikuwa wanasubili warudishwe na FDLR ila mambo yanaenda kombo ndio wanaanza kulialia na kujitoa mhanga(kutoka pangoni) bila haibu! Wewe subili data zake na za wazazi wake soon tutazileta halafu ndio mtaamini kwa nini hawapapendi kwao.
 
Lol... Hongera kwa kujitoa mhanga ila ninauhakika wa 99.9% kuwa wewe ndio yule wakala wa FDLR kwa jina ni jMali!!! Kwa hiyo umeamuwa kuja nje mkavumkavu? Hii sasa inaonyesha dalili ya mvua, si bure inawezekana mmepata habari Kagame anataka kuwafwata mwenyewe tena bila kusubiri baba zenu UN, sema ungefanya vizuri kutusaidia majina yako kamili na ya wazazi wako ili tupate kujuwa mlihusika vipi kwenye mauwaji ya kimbali au kiufisadi, hongera kiswahili naona ushakijuwa bara!bara! Naona course ya kiswahili pale ILOS kwa mhaya uliimaliza vizuri! Sema unakiandika vizuri kuzidi unavyokiongea au accent ya kinyarwanda ndio inakuharibia?
Wewe bwana wacha ujinga urudi kwenu tusaidizane majukumu, hao watu unaowapaka mafuta usitufananishe nao hata siku moja kwani hawakuwahi kuuwana kama nyie mlivyofanya kwenu, uko kupokezana madaraka inatokana na system walioachiwa na Nyerere(RIP) sasa nyinyi mlishindwaje kuijenga mpaka mkaja kufukuzwa na Kagame? Mbona unatamani mambo ya watu bila kufwatisha walivyofanya wao kusudi wafike walipofika? Nyerere(RIP) kaongoza hiyo nchi tokea miaka ya 60 mpaka 80 mwishoni na hakuishia hapo baada ya kung'atuka alihakikisha kila ajaye lazima amkabizi kijiti mwenzake na wewe kwenu mpeni Kagame wakati akamilishe msingi bora sio kumpeleka puta kana kwamba kuna system mliyokuwa mmetuachia. JustDoItNow wewe ndio umebakia na wenzako team-FDLR naona kijiwe cha jungle la DRC kimeanza kunuka na bado mtalia sana kwa kukubali kuwa waathilika wa wazazi wenu, pole sana na msanii wenu.

1. Peter mutabaruka is a researcher based in London UK. anapatikana pia twitter: https://twitter.com/Pete_SM. cc: Super Handsome Ngongo
2. Mwalimu Nyerere alipigania uhuru toka kwa wakoloni, it was justifiable for him to rule for all those years ili kujenga taifa ambalo HALIKUWAPO. Rwanda ilipata uhuru toka kwa wabelgiji mwaka 1962! Kagame hana uhalali wowote wa kung'ang'ania madaraka katika nchi ambayo tayari ALIIKUTA.
 
Lol... Hongera kwa kujitoa mhanga ila ninauhakika wa 99.9% kuwa wewe ndio yule wakala wa FDLR kwa jina ni jMali!!! Kwa hiyo umeamuwa kuja nje mkavumkavu? Hii sasa inaonyesha dalili ya mvua, si bure inawezekana mmepata habari Kagame anataka kuwafwata mwenyewe tena bila kusubiri baba zenu UN, sema ungefanya vizuri kutusaidia majina yako kamili na ya wazazi wako ili tupate kujuwa mlihusika vipi kwenye mauwaji ya kimbali au kiufisadi, hongera kiswahili naona ushakijuwa bara!bara! Naona course ya kiswahili pale ILOS kwa mhaya uliimaliza vizuri! Sema unakiandika vizuri kuzidi unavyokiongea au accent ya kinyarwanda ndio inakuharibia?
Wewe bwana wacha ujinga urudi kwenu tusaidizane majukumu, hao watu unaowapaka mafuta usitufananishe nao hata siku moja kwani hawakuwahi kuuwana kama nyie mlivyofanya kwenu, uko kupokezana madaraka inatokana na system walioachiwa na Nyerere(RIP) sasa nyinyi mlishindwaje kuijenga mpaka mkaja kufukuzwa na Kagame? Mbona unatamani mambo ya watu bila kufwatisha walivyofanya wao kusudi wafike walipofika? Nyerere(RIP) kaongoza hiyo nchi tokea miaka ya 60 mpaka 80 mwishoni na hakuishia hapo baada ya kung'atuka alihakikisha kila ajaye lazima amkabizi kijiti mwenzake na wewe kwenu mpeni Kagame wakati akamilishe msingi bora sio kumpeleka puta kana kwamba kuna system mliyokuwa mmetuachia. JustDoItNow wewe ndio umebakia na wenzako team-FDLR naona kijiwe cha jungle la DRC kimeanza kunuka na bado mtalia sana kwa kukubali kuwa waathilika wa wazazi wenu, pole sana na msanii wenu.

Unaongea kama Goliath!
MUNGU YUPO NDUGU YANGU, NA YOTE YANA MWISHO!
 
ivi wangempa huyu kijana nafasi ya yule mushikwabo rwanda ingekua a better place to live na ingependwa na international community!!! true diplomat not driven by emotions but very strong character and will
 
Sidhani kama huyu kijana yupo Rwanda.
Huyu kijana jasiri sana. Kama anatembelea JF namuomba atuhakikishie kuwa bado yuko hai. Nachelea kuwa anaweza kuwa mmoja wa wale wanaokutwa wanaelea kwenye ziwa moja mpakani mwa Rwanda na Burundi ambao kila nchi inakana kuwa siyo wa kwao.
 
Huyu anaishi london, UK, anaendeshea harakati zake huko.
 
Lol... Hongera kwa kujitoa mhanga ila ninauhakika wa 99.9% kuwa wewe ndio yule wakala wa FDLR kwa jina ni jMali!!! Kwa hiyo umeamuwa kuja nje mkavumkavu? Hii sasa inaonyesha dalili ya mvua, si bure inawezekana mmepata habari Kagame anataka kuwafwata mwenyewe tena bila kusubiri baba zenu UN, sema ungefanya vizuri kutusaidia majina yako kamili na ya wazazi wako ili tupate kujuwa mlihusika vipi kwenye mauwaji ya kimbali au kiufisadi, hongera kiswahili naona ushakijuwa bara!bara! Naona course ya kiswahili pale ILOS kwa mhaya uliimaliza vizuri! Sema unakiandika vizuri kuzidi unavyokiongea au accent ya kinyarwanda ndio inakuharibia?
Wewe bwana wacha ujinga urudi kwenu tusaidizane majukumu, hao watu unaowapaka mafuta usitufananishe nao hata siku moja kwani hawakuwahi kuuwana kama nyie mlivyofanya kwenu, uko kupokezana madaraka inatokana na system walioachiwa na Nyerere(RIP) sasa nyinyi mlishindwaje kuijenga mpaka mkaja kufukuzwa na Kagame? Mbona unatamani mambo ya watu bila kufwatisha walivyofanya wao kusudi wafike walipofika? Nyerere(RIP) kaongoza hiyo nchi tokea miaka ya 60 mpaka 80 mwishoni na hakuishia hapo baada ya kung'atuka alihakikisha kila ajaye lazima amkabizi kijiti mwenzake na wewe kwenu mpeni Kagame wakati akamilishe msingi bora sio kumpeleka puta kana kwamba kuna system mliyokuwa mmetuachia. JustDoItNow wewe ndio umebakia na wenzako team-FDLR naona kijiwe cha jungle la DRC kimeanza kunuka na bado mtalia sana kwa kukubali kuwa waathilika wa wazazi wenu, pole sana na msanii wenu.

..LOL!!

..mbona pua yake imekaa kama ya Mtutsi halafu wewe unakurupuka kudai kwamba ni Mhutu?

..halafu hata kama ni Mhutu, hakuna uhalali wowote ule wa kumuunganisha huyu dogo ktk madhambi ya wazazi wake.
 
Mi nadhani tukawaondoe hao FDRL na immedietly baada ya hapo tumuondoe na Kagame. tumalize hizi mabishano.
 
Last edited by a moderator:
huo mziki ni mrefu hamuwezi kabisaaa.

Penye nia pana Njia. Tukikubaliana katika nia hiyo itatuchukua hardly a week Kagame atakimbilia Kampala, then mood yetu ndio itatuelekeza hatua za kuchukua, ikitusukuma tum pursue tutamfuata Kampala na kumuondoa na rafiki yake.

Naamini raia wengi wa huko wanaomba tuchukue maamuzi hayo kitambo sana.
 
ahahahha itakua kinyume..au unataka wanyarwanda wahamie tanzania??halafu mtanzania aingizane msumbiji.
 
Back
Top Bottom