HuhThe super musculine rocket..![]()
Atarudi lakini...tatizo na nyinyi mnataka kuwashiwa kila siku..Ndio katekwa
Kwani uongooo
Hahaha![]()
![]()
![]()
![]()
ana like tu!!
Mi nimemsamehe kaka angu!bahati mbaya ipo!!!
kama yupo unaemfahamu sio mbaya ukinijuza vigezo ninavyo urefu uko pia ukijumuisha pua ndefu vinginee mbele ya safari
HahahaNikimjibu atatupa simu...
Mjibu wewe. Mwambie mmeo hapendi...
Ndo umetafutiwa msaidiziAtarudi lakini...tatizo na nyinyi mnataka kuwashiwa kila siku..
Hela zitatafutwa lini..
Hahaha
Anajionea aibu eeeh!! Yeye kaona kuliko asimame na mie afadhali amuimbishe mwalimu tena mbele yangu!!!
mwalimu halafu Dada ake!!!.loohh!Ushaanza kuniuza na wwTumosa
Hapana...Aliaga kwenda kutekwa
My Eli79 si ulinigeuka wewe ukaanza kumuimbisha mwalimu tena mbele yangu aki, hivi unadhani nimejisikia vipiNiende wapi, kwa hiyo umeamua kuwa team moja na rayna?