Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hahaha shemeji unanifurahisha mnooShemeji kicheko hicho![]()
Hahaha shemeji unanifurahisha mnooShemeji kicheko hicho![]()
MmmhHivi nguo za kina Naveen ziko wapi?
Shkamoo
Tupo sie kama hiviNiko pouwa...
Siku mingi sjapita huku.
Njiani kwenda wapi tenareply ndio inarudi leo hongereni sanaa [HASHTAG]#mwifwa[/HASHTAG]
na mimi nipo njianii
Khaaaa kwa nn tenaNdugu yako
kanipa limitation ya kuja mahali hapa![]()
Mmaaaaaa....x 2Niko hapa kukulana ndio mpango mzima
MfyuuuuuuuShkamoo
Swadakta kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
Hbr ya cku
kwa atakae kubali kuniweka moyoniNjiani kwenda wapi tena
Ananiaandaa na mwez mtukufuKhaaaa kwa nn tena
Sawa mkuu nakuombea kila la heri umpate wa kufanana naekwa atakae kubali kuniweka moyoni
Kwani shem we ni muislamuAnaniaandaa na mwez mtukufu
na hiwe hivyo [HASHTAG]#shunie[/HASHTAG]Sawa mkuu nakuombea kila la heri umpate wa kufanana nae
Hapana shem. Mkristu mkatoliki ila nimezungukwa na muslims.Kwani shem we ni muislamu
Sawa shem nikajua nawe mfungo unakuhusuHapana shem. Mkristu mkatoliki ili nimezungukwa na muslims.
Mim nasubiri majilio na kwaresma shemSawa shem nikajua nawe mfungo unakuhusu
Mie nashangaa akimm hoiii na huyo miguno
MwenyeweMfyuuuuuuu