Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Yaani mtu anapotea kwa miezi halafu anarudi ka mlikuwaa wote jana usikukushangaa lazima sana
Hakuna ulichofanya dada angu mieHahaha
Kwani nimefanyaje jamani
Yaani mtu anapotea kwa miezi halafu anarudi ka mlikuwaa wote jana usiku





hajui maisha yameshabadirika uko na mbebez wako mwingineAiseeeWoyooooooooo nafurahi mie haswa dada angu akiwa happy kama hivyo shem
Taifa la izrael..nchi ipi hiyo
AsanteHakuna ulichofanya dada angu mie
Hahahahajui maisha yameshabadirika uko na mbebez wako mwingine
Haya bana, uko poa lakiniHahaha shemeji unanifurahisha mnoo
Hebu nenda...!Yaani mtu anapotea kwa miezi halafu anarudi ka mlikuwaa wote jana usiku

Nataka nione kile kibox cha pete...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unataka ona nini aki




Aki vile ( kwa sauti ya sakayo).hajui maisha yameshabadirika uko na mbebez wako mwingine



Mkuu, eti unasemaje ?Mkuu..
Huyo mke wa mtu..!![]()
HahahaNataka nione kile kibox cha pete...
Kama umeirudisha..![]()
Mbona limeuzwa zamani sanaTaifa la izrael..
HahahaHebu nenda...!
Siku ukijisikia kurudi ..urudi tuu.
Ile nafasi itakuwa wazi hadi izrael atakapokuja.