Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Usijali
Shemu wangu Demiss analisimamia hili mwanzo mwisho, wewe kaa tayari kujumuika bila jasho lolote
Usijali
Ahsante sana mkuu
Juhudi yako mkuu ndio siri ya mafanikioIla mkuu naomba siri ya mafanikio
Mazuri yaja hivi karibuniHaya mapenz yazae matunda mema basii.
Shikamoo mkuu
Njoo pm


umenifanya nimkumbuke hello hivi ulikuwepo kwenye sakata lake mmu akikuita njo pm unaenda kukutana na matusi yakoUsijali
Shemu wangu Demiss analisimamia hili mwanzo mwisho, wewe kaa tayari kujumuika bila jasho lolote
Nenda kwa Rayna....
Aki nakuona unavyovizia mtu jamanii!! My one n only Mungu anakuona
Ndo ukome












Jamani pole sana mamy kwa ban mfululizoNipo best nakula ban kilaa siku wacha nibaki naangaliaa wapendao wa mitandaoni
Wooooooooozeeeeeeeer
HahahaWooooooooozeeeeeeeer
Kwa nini tenaHmm kuna namna hapa sio bure

Aah naona ndivyo sivyo,tu ila mwenzio naona mwenzio katia timuKwa nini tena
Hivi nguo za kina Naveen ziko wapi?Kwa nini tena