Woyooooooo moyo wako bada ya kusukuma damu unamsukuma mwifwa tu jamani

Bado nipo gado hapa ShunieWooooooozeeeeer naomba picha mie ukiwa unakesha jamani khaaaa haya ni zaidi ya mahaba niue![]()
Ufike salamaMmmmhhh aya bana mie napita tu
Usijali kwa hilo mkuuNgoja aishiwe pesa ndipo utuletee habari hii ya upendo wa dhati kwa sasa ana pesa yote utasema hongera kwa penzi la dhati
Mbuzi yupo kwa mpika mapupuWoyooooooooooooo na kukulana juu
Akiwa na chura itakusidiaje wewe?
Usijali mkuuNgoja niendelee kujipa moyo siku yangu inakuja na mimi.![]()
Mbuzi yupo kwa muuza supumwifwa kumbe mzee baba unatekenya kunako
Ahsante sanaKila la heri kwenu