Marcus M. Garvey,(Mashairi yake mengi yalirudiwa na Bob Marley) William Silvester, William Dubois, King Martin Luther Jr, na wengine wengi kila mmoja alikuwa na mtazamo wake...lengo lilikuwa moja tu.....kujikomboa toka makucha ya watesaji. Kweli walijaribu,,,tuwapongeze hata kama kulikuwa na disunit fulani fulani.
Upuuzi wa isolation ni kwamba, kuna watu wanaamini kwamba isolation ndo ukombozi, na isolation ni unity.
Wakati isolation, taken to it's fullness, is just giving other people the upper hand. Wachina waliivumbua America kabla ya Columbus, walivumbua gunpowder kabla ya wazungu. Walifika pwani ya Afrika kabla ya Vasco da Gama. Lakini mfalme wao akakataza kujichanganya na dunia ya nje, matokeo yake mpaka leo Mchina anajitahidi ku recover, wakati alikuwa ana upper hand kina Marco Polo walikwenda kuchukua ujuzi Uchina huko. Wazungu wamepata teknolojia ya gunpowder kutoka kwa Wachina.
Egyptians walikuwa wameendelea kiasi cha kina Pythagoras walienda kujifunza hesabu na mysticism Egypt. Lakini walijikunyata katika isolationism, wakakataa kufunguka, wakakataa hata kuwapa wananchi wao knowledge. Matokeo yake Wagiriki wakachota elimu, wakaenda kudiscuss Athens, wakakuza mambo, mpaka leo wanajulikana wao ndo wasomi wa kwanza, wakati dialogues zote za Socrates zimetoka kwa Egyptians.
Ndo tunataka kurudi kwenye isolationism hii hii?
Mtu mweusi hawezi kuendelea bila ya kujiona sawa na watu wengine.
Na hawezi kujiona sawa na watu wengine kwa kukumbatia reverse-racism.
Halafu hawa hawa hypocrites wanaojitia extra black wapo hapa wanatumia computer za muasia, internet ya mmarekani, herufi za mrumi, na hata lugha ya muingereza na muarabu.
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Dudes, I will take you more seriously mkivumbua alphabet ya Kiswahili for starters. Kwenye computer na internet ntakuwa nawaonea.