Message tamu kwenye mahusiano

Message tamu kwenye mahusiano

ShyaRuwa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
8,241
Reaction score
14,748
KWENDA KWA MWANAMKE
1. 3HB568EOPN Imethibitishwa umepokea Tsh500,000.00 kutoka 8883456459-MSAGA SUMU mnamo11/8/16 saa 7:09 PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh940,000.00.

2.Baby likizo inakaribia, unaonaje kama tukienda Ngorongoro N.Park then after three weeks tutarudi home? I hope 'll enjoy a lot

3.Hallow sweet, naelekea bank nitumie gharama za kodi, bei ya kile kiwanja ili nikuweke pesa kwenye A/C, usisahau lile deni unalodaiwa.

4.Darling, jiandae kesho saa tatu asubuhi nitakupitia twende K/koo ukafanye shopping.Jitahidi uwahi sababu saa tisa nina kikao cha harusi kimara.

5.Bae wa mimi umeamkaje???I miss you, after work nitakupita kwajili ya dinner..have a nice morn wangu.

6.Honey upo wapi??? nina bonge la surprise for you, I need to see you right now!

7.Hallow darling, umeshindaje??? kuna post zimetoka hapa ofcn so mwambie Jane(mdogo wake manzi) aniletee CV zake kesho asubuhi .

8.Honey ile dressing table uliyoiitaji Nico atakuletea hapo nyumbani mchana,kwahiyo hakikisha kuwepo huo muda.

9.Baby jumamosi ijayo nitakupeleka nyumbani, nataka nikakutambulishe kwa ndugu zangu...wanasumbua sana wanataka kukuona.

10.Hallow sweetheart,..hivi unajua ni miaka miwili sasa tupo pamoja??? nataka kuanza maandalizi ya harusi na kutangaza ndoa....I LOVE YOU SO MUCH.

KWENDA KWA MWANAUME:
Hubby wa mimi umeshinda salama mpenzi wangu? nimekumiss je,leo nakuja kulala kwako nina hamu ya lile tunda letu...lov you my hubby....hahahaaa with men things are very simple....ebu ongezen msg nyingine zinazopendwa kwenye mahusiano.
 
1 na 2 sjuh km kipindi hiki cha Magu bado yapo. Km yapo ni kwa watu wachache tu.
 
kwenda kwa mwanaume,
.VIP uko powa nakupenda sana my capet wangu,baby nina shids nissifir laki 4 nitakurudishi mwisho ws mwexi
 
kwanini usitumie maneno machache tu na ukaeleweka ''kwanzia leo mimi na wewe baasi''....maana unatakakuachwa siyo bure.
 
KWENDA KWA MWANAMKE
1. 3HB568EOPN Imethibitishwa umepokea Tsh500,000.00 kutoka 8883456459-MSAGA SUMU mnamo11/8/16 saa 7:09 PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh940,000.00.

2.Baby likizo inakaribia, unaonaje kama tukienda Ngorongoro N.Park then after three weeks tutarudi home? I hope 'll enjoy a lot

3.Hallow sweet, naelekea bank nitumie gharama za kodi, bei ya kile kiwanja ili nikuweke pesa kwenye A/C, usisahau lile deni unalodaiwa.

4.Darling, jiandae kesho saa tatu asubuhi nitakupitia twende K/koo ukafanye shopping.Jitahidi uwahi sababu saa tisa nina kikao cha harusi kimara.

5.Bae wa mimi umeamkaje???I miss you, after work nitakupita kwajili ya dinner..have a nice morn wangu.

6.Honey upo wapi??? nina bonge la surprise for you, I need to see you right now!

7.Hallow darling, umeshindaje??? kuna post zimetoka hapa ofcn so mwambie Jane(mdogo wake manzi) aniletee CV zake kesho asubuhi .

8.Honey ile dressing table uliyoiitaji Nico atakuletea hapo nyumbani mchana,kwahiyo hakikisha kuwepo huo muda.

9.Baby jumamosi ijayo nitakupeleka nyumbani, nataka nikakutambulishe kwa ndugu zangu...wanasumbua sana wanataka kukuona.

10.Hallow sweetheart,..hivi unajua ni miaka miwili sasa tupo pamoja??? nataka kuanza maandalizi ya harusi na kutangaza ndoa....I LOVE YOU SO MUCH.

KWENDA KWA MWANAUME:
Hubby wa mimi umeshinda salama mpenzi wangu? nimekumiss je,leo nakuja kulala kwako nina hamu ya lile tunda letu...lov you my hubby....hahahaaa with men things are very simple....ebu ongezen msg nyingine zinazopendwa kwenye mahusiano.
unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya tigo pesa linampata????????
Ndo utakapokumbuka kujaza booklet kwenye mtihani sio kupata A

?????????????
 
hahahahaha nimeipenda hii kwa kweli.

imenikumbusha enzi zile nasoma, mko kwenye mitihan unaona mwenzako anaandika hadi unasema hivi sijaelewa swali au? mkitoka ana c wewe A.

You said it all Mkuu.
 
KWENDA KWA MWANAMKE
1. 3HB568EOPN Imethibitishwa umepokea Tsh500,000.00 kutoka 8883456459-MSAGA SUMU mnamo11/8/16 saa 7:09 PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh940,000.00.

2.Baby likizo inakaribia, unaonaje kama tukienda Ngorongoro N.Park then after three weeks tutarudi home? I hope 'll enjoy a lot

3.Hallow sweet, naelekea bank nitumie gharama za kodi, bei ya kile kiwanja ili nikuweke pesa kwenye A/C, usisahau lile deni unalodaiwa.
Yani hadi leo ndivyo unavyoamini hvo..duhh ,safar njema

5.Bae wa mimi umeamkaje???I miss you, after work nitakupita kwajili ya dinner..have a nice morn wangu.

6.Honey upo wapi??? nina bonge la surprise for you, I need to see you right now

7.Hallow darling, umeshindaje??? kuna post zimetoka hapa ofcn so mwambie Jane(mdogo wake manzi) aniletee CV zak
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom