Message sent......

[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi bhangi hizi sasa hata kama ni wivu hii imepitiliza
Hahahah jamaa kaona kazi yenyewe anayofanya haieleweki time yoyote inaweza ikamchomoa kaona aache wosia mapema kulinda mali zake.
 
Reactions: ydn
Akili za wabongo ziko kiunoni. Zikitaka kupanda kichwan zinaishia tumbon wanasikia njaa wanakula then zinarudi tena kiunoni, kamwe kichwani hazitawahi fika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]......hatari sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi bhangi hizi sasa hata kama ni wivu hii imepitiliza


Nafikiri jamaa ni muungwana kajijua ana ngoma sasa anatoa angalizo, labda tu angemelizia unaweza kumuoa "at your own risk"
 
Hataolewa atakuwa mchepuko wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…