Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Respect kitu gani kama u dnt get gud sex!?acha zako we mama usitusemee wanaume wenyewe tunajijua!
Very nice!!....God bless you.
"respect is earned not given"
Afu kama kwa mwanaume ishu ni respect tu, asingeoa angebaki nyumbani kwao aheshimiwe na dada zake
KumbeeeHiyo respect hata mwanamke anahiitaji. Good sex builds a respect.
hahahahahaha jf is never boringHiyo respect hata mwanamke anahiitaji. Good sex builds a respect.
Mpendwa we ni shida aisee"respect is earned not given"
Afu kama kwa mwanaume ishu ni respect tu, asingeoa angebaki nyumbani kwao aheshimiwe na dada zake
"respect is earned not given"
Afu kama kwa mwanaume ishu ni respect tu, asingeoa angebaki nyumbani kwao aheshimiwe na dada zake
Umehama kwaya? SikuoniMpendwa we ni shida aisee
Mpendwa..Nilipewa skendo ya kutembea na Mama mchungaji..Nikaamua nijibrekishe kidogo..Nimerudi nowUmehama kwaya? Sikuoni
Ole wao wawazushiao wenzao..... Karibu sanaMpendwa..Nilipewa skendo ya kutembea na Mama mchungaji..Nikaamua nijibrekishe kidogo..Nimerudi now
Unaakili sn wewe!!unajua aliyesema the greatest need of a man is sex ni mwanaume,ina maana yeye ni mwanaume kwa hiyo anajua nn mahitaji ya mwanaume,sasa nashangaa huyu mama kakurupuka na ajaribu kutuongelea sisi wanaume,angeongelea the greatest need of a woman sawa nisingempinga lkn kwa hili,a big no!kama ni respect naipata hata kwa ndg,jamaa na hata marafiki zangu wa kike!"respect is earned not given"
Afu kama kwa mwanaume ishu ni respect tu, asingeoa angebaki nyumbani kwao aheshimiwe na dada zake
Kila binadamu anahitaji respect sio mwanaume pekee!Respect goes number 1, bila hilo hakuna utulivu zaidi ya ugomvi baina yenu!
Ugomvi usio na mwisho hupelekea loss of appetite ya mapenzi due to stress.
Loss of appetite hupelekea sex denial na baadae michepuko.
Respect kwa mwanaume huufungua moyo wa upendo zaidi na kuthamini, huwezi kumpenda na kumtendea uzuri mtu asiyekuheshimu wala sitaumia kichwa kama unaridhika au huridhiki kitandani ikiwa unanchukulia poa!
Ahsante mpendwaOle wao wawazushiao wenzao..... Karibu sana