Message niliyopata kwenye simu kuhusu ajira katika majeshi

Message niliyopata kwenye simu kuhusu ajira katika majeshi

Waungwana leo Jogoolashamba nimepandikiziwa sms hii:

"HABALI AFANDE JAMES NAFASI YA KUUSU KIJANA WAKO KUJIUNGA NA JESHI ULIFANIKIWA? KUNA NAFASI HAPA KIKOSINI KAMA BADO TUWASILIAE HARAKA TAFUTA NA VIJANA 2".

Namba ya simu ya mtumaji ninayo, ila sababu ya kutumiwa sms hii siijui. Ni wrong number au kuna mtu ananitega? Kama si vyote basi taratibu za ajira za jeshi hazina kasoro?
Hapo unategwa uingie kingi mwenyewe. Nisha lizwa 300,000/- na watu waliojitambulisha ni wa tamisemi, kipindi hicho nahangaika kweli kumhamisha wife. Kwa tension hiyo nilitoa hela na zililiwa tu
 
Back
Top Bottom