Message niliyopata kwenye simu kuhusu ajira katika majeshi

jogoolashamba

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
348
Reaction score
71
Waungwana leo Jogoolashamba nimepandikiziwa sms hii:

"HABALI AFANDE JAMES NAFASI YA KUUSU KIJANA WAKO KUJIUNGA NA JESHI ULIFANIKIWA? KUNA NAFASI HAPA KIKOSINI KAMA BADO TUWASILIAE HARAKA TAFUTA NA VIJANA 2".

Namba ya simu ya mtumaji ninayo, ila sababu ya kutumiwa sms hii siijui. Ni wrong number au kuna mtu ananitega? Kama si vyote basi taratibu za ajira za jeshi hazina kasoro?
 
Basi angalau waungwana mnisaidie Shirika gani la simu Tz lina namba zinazoanzia 744 yaani 0744 au +255744?
 
kumbe huyo jamaa alikupigia na wewe hata mimi alinipigia namba yake inaishia 887 ni voda 0752
 
WanaJF ni hatua zipi za kufuata ili kujiunga na Jeshi la wananchi Tanzania?
 
Waungwana leo Jogoolashamba nimepandikiziwa sms hii:

"HABALI AFANDE JAMES NAFASI YA KUUSU KIJANA WAKO KUJIUNGA NA JESHI ULIFANIKIWA? KUNA NAFASI HAPA KIKOSINI KAMA BADO TUWASILIAE HARAKA TAFUTA NA VIJANA 2".

Namba ya simu ya mtumaji ninayo, ila sababu ya kutumiwa sms hii siijui. Ni wrong number au kuna mtu ananitega? Kama si vyote basi taratibu za ajira za jeshi hazina kasoro?
Tangu lini kikosi kikatoa nafasi za jeshi.
 
Nilitumiwaga mwaka jana kama ilivyo,kwa vile sikuwa na mtoto mkubwa wa kwenda jeshini na wala sikuwahi kufanya mchakato wa jeshi nikaachana nayo
 
Watu washasema huyo ni tapeli, ila chaajabu Utakuta PM inajaa raia wakiomba namba za huyo tapeli.... Mammae Shida
 
Waungwana leo Jogoolashamba nimepandikiziwa sms hii:

"HABALI AFANDE JAMES NAFASI YA KUUSU KIJANA WAKO KUJIUNGA NA JESHI ULIFANIKIWA? KUNA NAFASI HAPA KIKOSINI KAMA BADO TUWASILIAE HARAKA TAFUTA NA VIJANA 2".

Namba ya simu ya mtumaji ninayo, ila sababu ya kutumiwa sms hii siijui. Ni wrong number au kuna mtu ananitega? Kama si vyote basi taratibu za ajira za jeshi hazina kasoro?
Achana na huo udwanzi. Hakuna mwanajeshi wa lugha hiyo. Hakuna ajira inatolewa kikosini. Hakuna ajira isiyotambulisha aina ya Jeshi, na kwa majeshi ya serikali, ajira zote za kawaida zinaanzia JKT ambao wana mlolongo mrefu wa usaili. Ajira maalum za wataalam zinatangazwa na kuna usaili maalum na unajulikana. Hiyo lugha ni ya matapeli na siyo professional language ya kuitwa kuhudhuria mafunzo ya kijeshi.
 
Back
Top Bottom