Mtu unafumaniwa na meseji ulizochati na mtu au mumeo anakuta namba mpya ambayo unawasiliana nayo kila mara hadi anaanza kuitilia mashaka. Umechati na mtu mmemaliza kwanini usifute hizo meseji au umewasiliana na mtu mmeongea mliyoyaongea kwanini usifute hiyo namba. Unaskia wanandoa wanalalamika kila siku kufumaniana meseji kwénye simu za wenza wao meseji nyingine unakuta zipo kwenye simu kwa mda mrefu. Kwanini hizo meseji mkimaliza maongezi yenu msizifute mnaziacha huko kwenye simu za nini? Maana mambo mengine mnajitakia wenyewe