Message na call logs mnabaki nazo kwenye simu za nini?

Message na call logs mnabaki nazo kwenye simu za nini?

Simu ya kwako mwenyewe, iweje mtu mwingine asome SMS au aone call list yako?

Wewe si unaweza ukaibiwa hata pesa zako kwenye eWallet?

Simu inapaswa iwe na ulinzi wa nywila kadhaa kwa manufaa yako binafsi...
 
Mtu unafumaniwa na meseji ulizochati na mtu au mumeo anakuta namba mpya ambayo unawasiliana nayo kila mara hadi anaanza kuitilia mashaka. Umechati na mtu mmemaliza kwanini usifute hizo meseji au umewasiliana na mtu mmeongea mliyoyaongea kwanini usifute hiyo namba. Unaskia wanandoa wanalalamika kila siku kufumaniana meseji kwénye simu za wenza wao meseji nyingine unakuta zipo kwenye simu kwa mda mrefu. Kwanini hizo meseji mkimaliza maongezi yenu msizifute mnaziacha huko kwenye simu za nini? Maana mambo mengine mnajitakia wenyewe
Kuna msemo husema "Jambo usilolijua ni Sawa na usiku WA Giza"....
 
siku ya kukamatwa utashangaa. kuna back up kama ujui. your not smart, ni swala mda tu. kupoteza kila kitu umejenga kwa uongo.
 
Siku ya kufa nyani ikifika ujue imefka
 
Back
Top Bottom