Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Ujumbe umefika
mataifa mengi ya nje wanawachukia israeli moja ni wabaguzi wa rangi na uonevu kwa wapalestina. Lakini tanzania ni moja ya nchi chache sana duniani ambazo wengi wa raia wake wanawapenda waisraeli kuliko ndugu zao wa kuzaliwa nao. Waisreli sio watu wazuri hata kidogo ni bora makaburu wa africa kusini kuliko wao.
Waisraeli wamejisahau kabisa kama wao ni binadamu wenye kuwajibika pia.