Message from British Foreign Secretary on Suspension of The Citizen.

Hawa waingereza, ni mazezeta wameshindwa kutatuwa matatizo yao ya BREACXIT wanatafuta kiki kwenye citizen.

Alafu kuna yule Kilema wa Akili Lissu kwenye tweeter yake ndio wakwanza kuunga mkono.

Masikini anazidi kuzorota akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla issue siyo urefu wa adhabu bali sababu ya adhabu.

Halafu ni watanzania gani wameikubali adhabu hiyo kama siyo woga wetu.
Ukifanyiwa kitu ambacho sicho, usipofanya chochote kuonyeshea hukubaliani na kilichofanyika, tafsiri yake ni umekubali.

Katiba imeruhusu mikutano ya siasa, Rais Magufuli amepiga marufuku mikutano hiyo bila kutumia kifungu chochote, jee tumefanya nini?. Huko ndiko kukubali kwenyewe.
P.
 
Haya mambo yanasababisha yale maneno ya Lissu yaonekane ni kweli kwa asilimia mia moja.
 
Your source is the same newspaper.Citizen in Swahili is called Mwananchi.Those two newspapers are owned by one company.Citizen is for English speakers while Mwananchi.is for Swahili speakers but all are same.Citizen=Mwananchi
Tofautisha kati ya reporter na source, Mwananchi ni reporter wakati source ni BOT labda unataka kingine, au ubishi usio na faida.
 
The UK Foreign Secretary Jeremy Hunt has said, he is very concerned to hear that The Citizen newspaper in Tanzania has been suspended for 7 days. He said media freedom is the lifeblood of any democracy and why Canada and British will co-hosting a media freedom conference in July.

While addressing members of the House of Commons in October 2018 about the murder of dissident journalist Jamal Khashoggi, the Foreign Secretary named the defence of media freedom as his signature policy and promised to confront countries that doesn't respect Media freedom and help to impose a “diplomatic price”.

"I am placing the resources of foreign office behind the cause of media freedom. This campaign will be marked by a major international conference on media freedom that I will host in London in July 2019." Jeremy Said.

His statement came after the Tanzanian authorities suspended the newspaper for seven days, accusing it of spreading false information about the devaluation of the Tanzanian shilling.

Message from British Foreign Secretary Jeremy Hunt #DefendMediaFreedom Jeremy Hunt on Twitter
So, according to the Secretary, Hospitals are less important than a newspaper or any media house? How many times US and UK and NATO have bombed hospitals in foreign countries. They did in Iraqi, they did in Afghanistan, they did in Syria, they did in Libya, etc. Multitude of journalists have been killed by their war mongering behaviour. This is a concern message intended for stupid people.

Ukiwa huna kitu kichwani kila kiti kinageuka kuwa cha maana. Demokrasi ipi? Limefungiwa mbona US ilipiga mabomu studio za Aljazeera.
 
Sisi Watanzania wenyewe tumekubali, hii ndio demokrasia yetu na hii ndio press freedom yetu, ndio maana wenyewe tumejinyamazia, hawa wazungu wanamsemea Nani?.
Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
😥, Who is "Sisi Wenyewe", I am sorry Mr, you don't represent us all, Tanzanian are crying for help, We need someboby any body to help us, pls correct your sentence it should be written "Mimi mwenyewe"..
 
Wajameni, siku 7 mbona sio nyingi, hata Donald Trump mwenyewe akemee, it's not gonna happen before the 7 days.

Kama ilivyo the African Democracy, vivyo hivyo kwenye media freedom, pia we have African Press Freedom na sisi Tanzania we have Tanzanian Democracy na Tanzanian Press Freedom, hawa wazungu watuache tuu. Sisi Watanzania wenyewe tumekubali, hii ni nchi yetu, na hii ndio press freedom yetu.

Wazungu hawa hawana maana kabisa, kama Katiba yetu inaruhusu mikutano ya vyama,I akaibuka mtu akaipiga marufuku bila kutumia kifungu chochote, mbona hawakujitokeza?. Magazeti mangapi yamefungiwa tena vifungo virefu, mbona hawakujitokeza?. Why wajitokeze kwa the Citizen?, Tena kifungo cha wiki tuu?.

Sisi Watanzania wenyewe tumekubali, hii ndio demokrasia yetu na hii ndio press freedom yetu, ndio maana wenyewe tumejinyamazia, hawa wazungu wanamsemea Nani?.
Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Pascal nahisi wewe ni kama watermelon, kwa nje ni rangi ya kijani ila kwa ndani rangi nyekundu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But not according to kichaa. Kichaa will use rungu to kill that mosquito and the destruction will be HUGE!

pascal, It is only when a mosquito lands on your testicles that you will realize, there is always a way to solve problems without violence.
 
So, according to the Secretary, Hospitals are less important than a newspaper or any media house? How many times US and UK and NATO have bombed hospitals in foreign countries. They did in Iraqi, they did in Afghanistan, they did in Syria, they did in Libya, etc. Multitude of journalists have been killed by their war mongering behaviour. This is a concern message intended for stupid people.

Ukiwa huna kitu kichwani kila kiti kinageuka kuwa cha maana. Demokrasi ipi? Limefungiwa mbona US ilipiga mabomu studio za Aljazeera.
What you have written is true without no doubt,This People discrimated bombing without thinking, yes its inhuman, but did the Western closed all those media who reported that matter? Without the media we will not even know what happened in those trouble areas
 
Mkuu sijui nimkuelewa
Wajameni, siku 7 mbona sio nyingi, hata Donald Trump mwenyewe akemee, it's not gonna happen before the 7 days.

Kama ilivyo the African Democracy, vivyo hivyo kwenye media freedom, pia we have African Press Freedom na sisi Tanzania we have Tanzanian Democracy na Tanzanian Press Freedom, hawa wazungu watuache tuu. Sisi Watanzania wenyewe tumekubali, hii ni nchi yetu, na hii ndio press freedom yetu.

Wazungu hawa hawana maana kabisa, kama Katiba yetu inaruhusu mikutano ya vyama,I akaibuka mtu akaipiga marufuku bila kutumia kifungu chochote, mbona hawakujitokeza?. Magazeti mangapi yamefungiwa tena vifungo virefu, mbona hawakujitokeza?. Why wajitokeze kwa the Citizen?, Tena kifungo cha wiki tuu?.

Sisi Watanzania wenyewe tumekubali, hii ndio demokrasia yetu na hii ndio press freedom yetu, ndio maana wenyewe tumejinyamazia, hawa wazungu wanamsemea Nani?.
Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Mkuu sijui nimekuelewa au ni matatizo tu ya usingizi wangu!!
 
from your heart kabisa❓🤣
 
Unazeeka vibaya, angalia ulipojikwaa mana hueleweki kabisa.
 
What you have written is true without no doubt,This People discrimated bombning without thinking, yes its inhuman, but did the Western closed all those media who reported that matter? Without the media we will not even know what happened in those trouble areas
Naona nikuandikie kiswahili maana hiyo lugha ya ufalme haikutaki.
Kuna mambo ambayo kila nchi au serikali haitaki kuingiliwa bila kujali ni media au mtu binafsi. Ndo maana shule zinapigwa mabomu, hospitali na hata studio za TV na magazeti. Sasa hapa unataka Mwananchi iachwe inafanya upuuzi bila kuingiliwa. Anayesikitika ni mwingereza ambaye eti ameguswa kuliko m-TZ na baadhi yetu tunaona saaafi!

Nimeuliza mbona wao wanapiga mabomu hata hospitali? Wanaona kufungiwa gazeti ni tatizo kuliko hospitali za iraqi na syria?
 
Wajameni, siku 7 mbona sio nyingi, hata Donald Trump mwenyewe akemee, it's not gonna happen before the 7 days.

Kama ilivyo the African Democracy, vivyo hivyo kwenye media freedom, pia we have African Press Freedom na sisi Tanzania we have Tanzanian Democracy na Tanzanian Press Freedom, hawa wazungu watuache tuu. Sisi Watanzania wenyewe tumekubali, hii ni nchi yetu, na hii ndio press freedom yetu.

Wazungu hawa hawana maana kabisa, kama Katiba yetu inaruhusu mikutano ya vyama,I akaibuka mtu akaipiga marufuku bila kutumia kifungu chochote, mbona hawakujitokeza?. Magazeti mangapi yamefungiwa tena vifungo virefu, mbona hawakujitokeza?. Why wajitokeze kwa the Citizen?, Tena kifungo cha wiki tuu?.

Sisi Watanzania wenyewe tumekubali, hii ndio demokrasia yetu na hii ndio press freedom yetu, ndio maana wenyewe tumejinyamazia, hawa wazungu wanamsemea Nani?.
Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Hapo inabidi nitafsiri kwa reverse, pause, and forward then najumuisha nimeelewa nini:D:D:D
 
Umeng'ata kinoma mzee wangu

Paskali leo ndo nimekuelewa vizuri sana.. Una akili pevu na mawazo yenye busara kuu..
Kama watanzania wenyewe wamekubali na kuridhia yanayotokea nchini mwao..
Kwa nini hao mabeberu wawe na viherehere vya kutoa toa matamko..
Ka adhabu kenyewe kafuuupiii..!!
Watuache.. La sivyo waseme tu kama wanataka misaada kutoka kwetu.. Make nasi kwa sasa ni donor country!

NB: Kwa ajili ya amani na usalama wako; aliyelala anahitaji kufunikwa vizuri si kuamshwa!!
 
Mmmmmm freedom of expression has limits you can't go to USA and write in your newspaper that Osama Bin Laden was the best man than any American and be left free.Or you can't go to Israel and write in your newspaper that Hitler was a saint that Israel should respect and be left free or you can go to Saudi Arabia and write that A pork meat is holy and good Muslims should eat it .Or you can't write in a newspaper in UK that the Queen is the greatest woman prostitute who sleeps with anybody who wants to sleep with her and be left because of freedom of expression.Thete are things of national interests that nobody can play with them anywhere in the world and be safe.Press freedom has limits all over the world
When you do that the law will take its course, is it the case with Tanzania? I guess not. Here its not the law but someone who is above the law will sort you out; that's what makes the difference.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom