Message from British Foreign Secretary on Suspension of The Citizen.

Huna habari hata uhuru wetu tulienda kuuomba uingereza kwa mnaowaita mabeberu.
Uhuru wetu ulikuwa mikononi mwao, but not today. Walikuwa na mandate ya UNO kuwa protector wetu, so we had to go through that channel.

Lakini leo hatuna haja ya kufanya hivyo, bali weakness yetu na sheria zetu mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajameni, siku 7 mbona sio nyingi, hata Donald Trump mwenyewe akemee, it's not gonna happen before the 7 days.

Kama ilivyo the African Democracy, vivyo hivyo kwenye media freedom, pia we have African Press Freedom na sisi Tanzania we have Tanzanian Democracy na Tanzanian Press Freedom, hawa wazungu watuache tuu. Sisi Watanzania wenyewe tumekubali, hii ni nchi yetu, na hii ndio press freedom yetu.

Wazungu hawa hawana maana kabisa, kama Katiba yetu inaruhusu mikutano ya vyama,I akaibuka mtu akaipiga marufuku bila kutumia kifungu chochote, mbona hawakujitokeza?. Magazeti mangapi yamefungiwa tena vifungo virefu, mbona hawakujitokeza?. Why wajitokeze kwa the Citizen?, Tena kifungo cha wiki tuu?.

Sisi Watanzania wenyewe tumekubali, hii ndio demokrasia yetu na hii ndio press freedom yetu, ndio maana wenyewe tumejinyamazia, hawa wazungu wanamsemea Nani?.
Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
paskali huwa nakuelewa sana!......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When Lissu said that the condition is not stable some of us didn’t understand him, now we can see things with our naked eyes.

Zidumu fikra za meenyekiti wa chama.

Sky kumbe mwenzangu ulikuwa unaingia darasanisisi tunaishia kuogelea mtoni
 
Ukifanyiwa kitu ambacho sicho, usipofanya chochote kuonyeshea hukubaliani na kilichofanyika, tafsiri yake ni umekubali.

Katiba imeruhusu mikutano ya siasa, Rais Magufuli amepiga marufuku mikutano hiyo bila kutumia kifungu chochote, jee tumefanya nini?. Huko ndiko kukubali kwenyewe.
P.
Kuna member hapo juu amesema kukaa kimya siyo kuwa umekubali inawezekana unatafakari namna bora ya kumuingia.
 
Mmmmmm freedom of expression has limits you can't go to USA and write in your newspaper that Osama Bin Laden was the best man than any American and be left free.Or you can't go to Israel and write in your newspaper that Hitler was a saint that Israel should respect and be left free or you can go to Saudi Arabia and write that A pork meat is holy and good Muslims should eat it .Or you can't write in a newspaper in UK that the Queen is the greatest woman prostitute who sleeps with anybody who wants to sleep with her and be left because of freedom of expression.There are things of national interests that nobody can play with them anywhere in the world and be safe.Press freedom has limits all over the world
Sasa kuna aliyeandika hayo hapa? Give your head a wobble & stop being the arsehole you have been all these years, come on!
 
Uhuru wetu ulikuwa mikononi mwao, but not today. Walikuwa na mandate ya UNO kuwa protector wetu, so we had to go through that channel.

Lakini leo hatuna haja ya kufanya hivyo, bali weakness yetu na sheria zetu mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Do you think we are free? We are not.

Bado kila kitu tunawategemea wao uchumi wa dunia wameushikilia wao, hata hiyo mikataba bado wao wanatuandalia, mfano, huwezi hata kuchimba mafuta yako bila kuwa consult wazungu utasemaje uko huru, tulitaka kujenga barabara ya Arusha - Serengeti wazungu wakazuia, tunataka kujenga Stingers gorge hadi tuwaombe.
 
Thats very true in many cases, so why dont we do the best thing and let them rule us again. Haya matatizo ya vyama vya upinzani, kutukunana gharama za kijinga nazo ziende kwenye elimu na maendeleo.

Ama tuutumie uhuru wetu ipaswavyo. Tunavyozidi kuwa omba omba tutazi tawaliwa. Lets be productive katika siasa, kilimo, elimu nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna member hapo juu amesema kukaa kimya siyo kuwa umekubali inawezekana unatafakari namna bora ya kumuingia.
Kama tafakari inachukua miaka 4, kutafakari tuu, then kuna ugumu gani kusubiria hiyo 6 iliyobakia?.

Siasa za Tanzania wewe acha tuu.
Mfano wa Zanzibar, CUF, Mwenyekiti Prof. Lipumba, kaandika barua kujiuzulu, wakaipokea na kupuuza kuhmjibu, mwaka mmoja , baadae, kwa vile hakujibiwa, mwaka mmoja baadae jamaa kaibuka ku withdraw barua ya mwanzo, ndipo wanashtuka.
Uchaguzi wa 2015, wanajua Mwenyekiti ZEC hana mamlaka kujigeuza ZEC kufuta matokeo, wametazama tuu na kususa badala ya kuchukua hatua, kanuni zipo, sheria zipo na mahakama ipo.

Lakini Lipumba alipopewa tuu ruzuku, jamaa hao mbio mahakamani.

Hivyo kuna vitu tumekubali tuu wenyewe tuache kupiga kelele.
P
 
Wajameni, siku 7 mbona sio nyingi, hata Donald Trump mwenyewe akemee, it's not gonna happen before the 7 days.

Kama ilivyo the African Democracy, vivyo hivyo kwenye media freedom, pia we have African Press Freedom na sisi Tanzania we have Tanzanian Democracy na Tanzanian Press Freedom, hawa wazungu watuache tuu. Sisi Watanzania wenyewe tumekubali, hii ni nchi yetu, na hii ndio press freedom yetu.

Wazungu hawa hawana maana kabisa, kama Katiba yetu inaruhusu mikutano ya vyama,I akaibuka mtu akaipiga marufuku bila kutumia kifungu chochote, mbona hawakujitokeza?. Magazeti mangapi yamefungiwa tena vifungo virefu, mbona hawakujitokeza?. Why wajitokeze kwa the Citizen?, Tena kifungo cha wiki tuu?.

Sisi Watanzania wenyewe tumekubali, hii ndio demokrasia yetu na hii ndio press freedom yetu, ndio maana wenyewe tumejinyamazia, hawa wazungu wanamsemea Nani?.
Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Ni kweli walitakiwa waibuke wakati mikutano inapigwa marufuku. Nadhani hali iko hivi kwa sababu kuna hatua zimepigwa hapa katikati. The Citizen licha ya kuwa ni gazeti lao wanalopenda kulisoma, kama sisi tunavyopenda kusoma MWANANCHI, gazeti dada lake la kiswahili, lakini hatua ya kulifungia imekuja baada ya ile hatua muhimu ya Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya na kuwekwa kwenye microscope yake. pia inakuja baada ya Ishu nzima ya Tundu Lissu: Kushambuliwa kwake, sakata la matitabu yake, na mwisho na muhimu zaidi, ziara yake. sasa katika kila hatua, Tanzania imepiga hatua kupanda na kuwa moja ya mataifa ambayo yana sifa mbaya kabisa. The world is now paying attention to every detail. kama ulivyoona kwenye tamko lao, si kwamba hawaoni haya yote, ila ikifikia THRESHOLD, kwa sababu yoyote ile, watayaorodhesha yoooote!
 
Naona nikuandikie kiswahili maana hiyo lugha ya ufalme haikutaki.
Kuna mambo ambayo kila nchi au serikali haitaki kuingiliwa bila kujali ni media au mtu binafsi. Ndo maana shule zinapigwa mabomu, hospitali na hata studio za TV na magazeti. Sasa hapa unataka Mwananchi iachwe inafanya upuuzi bila kuingiliwa. Anayesikitika ni mwingereza ambaye eti ameguswa kuliko m-TZ na baadhi yetu tunaona saaafi!

Nimeuliza mbona wao wanapiga mabomu hata hospitali? Wanaona kufungiwa gazeti ni tatizo kuliko hospitali za iraqi na syria?
First of all English isn't "lugha ya Kifalme" it is just a language like any other language, secondly, I replied this topic in English because the editor expressed his feelings in English, thirdly, English is not my language I rarely speak or write the language, as matter of fact I don't use it at all..

You have criticised my English, you, yourself couldn't even write one sentence in English, shame on you
 
Ni kweli walitakiwa waibuke wakati mikutano inapigwa marufuku. Nadhani hali iko hivi kwa sababu kuna hatua zimepigwa hapa katikati. The Citizen licha ya kuwa ni gazeti lao wanalopenda kulisoma, kama sisi tunavyopenda kusoma MWANANCHI, gazeti dada lake la kiswahili, lakini hatua ya kulifungia imekuja baada ya ile hatua muhimu ya Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya na kuwekwa kwenye microscope yake. pia inakuja baada ya Ishu nzima ya Tundu Lissu: Kushambuliwa kwake, sakata la matitabu yake, na mwisho na muhimu zaidi, ziara yake. sasa katika kila hatua, Tanzania imepiga hatua kupanda na kuwa moja ya mataifa ambayo yana sifa mbaya kabisa. The world is now paying attention to every detail. kama ulivyoona kwenye tamko lao, si kwamba hawaoni haya yote, ila ikifikia THRESHOLD, kwa sababu yoyote ile, watayaorodhesha yoooote!
Hili Gazeti viongozi wa East wanalijua halipepesi.

Hili Kanu ya Kenya wanalijua vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona nikuandikie kiswahili maana hiyo lugha ya ufalme haikutaki.
Kuna mambo ambayo kila nchi au serikali haitaki kuingiliwa bila kujali ni media au mtu binafsi. Ndo maana shule zinapigwa mabomu, hospitali na hata studio za TV na magazeti. Sasa hapa unataka Mwananchi iachwe inafanya upuuzi bila kuingiliwa. Anayesikitika ni mwingereza ambaye eti ameguswa kuliko m-TZ na baadhi yetu tunaona saaafi!

Nimeuliza mbona wao wanapiga mabomu hata hospitali? Wanaona kufungiwa gazeti ni tatizo kuliko hospitali za iraqi na syria?
Wao hawayafungi magezeti yao hata kama hayo magazeti yameandika wasiyoyataka kuyasikia, kwanini sisi tufunge yetu kwasababu wameandika yasiyotakiwa kusikia..?!..

Kwaufupi kama Gazeti limeandika uongo kwanini halipelekwi Mahakamani? Kwani lazima lifungiwe?
 
Kama tafakari inachukua miaka 4, kutafakari tuu, then kuna ugumu gani kusubiria hiyo 6 iliyobakia?.

Siasa za Tanzania wewe acha tuu.
Mfano wa Zanzibar, CUF, Mwenyekiti Prof. Lipumba, kaandika barua kujiuzulu, wakaipokea na kupuuza kuhmjibu, mwaka mmoja , baadae, kwa vile hakujibiwa, mwaka mmoja baadae jamaa kaibuka ku withdraw barua ya mwanzo, ndipo wanashtuka.
Uchaguzi wa 2015, wanajua Mwenyekiti ZEC hana mamlaka kujigeuza ZEC kufuta matokeo, wametazama tuu na kususa badala ya kuchukua hatua, kanuni zipo, sheria zipo na mahakama ipo.

Lakini Lipumba alipopewa tuu ruzuku, jamaa hao mbio mahakamani.

Hivyo kuna vitu tumekubali tuu wenyewe tuache kupiga kelele.
P
Pascal unajua kabisa kuwa once tume imetangaza matokeo hata kama yamekosewa au rigged hayapingwi mahakamani huyo ndiye rais, ulitegemea CUF wafanye nini.
 
Chabuso, you are doing the same thing that you are castigating! I'm also sorry that you do not represent us (i.e. those of us who agree with Paskal) when you say 'Tanzanian are crying for help. We need somebody to help us'. Correct your sentence to read 'mimi...'
There is no where I have said, I represent somebody,.. Paskal does not represent me either...

If you agree with Paskal it is OK, it is your right to do so..
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom