Ngumu kumeza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 577
- 354
Mwambie ukweli ndio dawa au unamuogopa mazeeBaba yangu akiwa anatoka kazini anajua mi nakua nipo nyumbani. Ananiuliza nyumbani nini hakuna namuandika kwa meseji anapitia supermarket ananunua analeta nyumbani.
Leo siku ya nne anakosea kutuma meseji badala atume kwa mama anatuma kwangu. Meseji sio nzuri, ni meseji za mapenzi na nyingine matusi. I find it really disrespectful, sitakiwi kujua mambo wanayofanya wakiwa wenyewe.
Je nimwambie kama anakosea kutuma au ninyamaze maana mi sitaki kuona meseji zake kama hizi.
Nifanye nini?
Rudisha moja kwake, ndio itamshtua.Baba yangu akiwa anatoka kazini anajua mi nakua nipo nyumbani. Ananiuliza nyumbani nini hakuna namuandika kwa meseji anapitia supermarket ananunua analeta nyumbani.
Leo siku ya nne anakosea kutuma meseji badala atume kwa mama anatuma kwangu. Meseji sio nzuri, ni meseji za mapenzi na nyingine matusi. I find it really disrespectful, sitakiwi kujua mambo wanayofanya wakiwa wenyewe.
Je nimwambie kama anakosea kutuma au ninyamaze maana mi sitaki kuona meseji zake kama hizi.
Nifanye nini?
Weka message mbili tatu hivi tuzimeng'enye!!Baba yangu akiwa anatoka kazini anajua mi nakua nipo nyumbani. Ananiuliza nyumbani nini hakuna namuandika kwa meseji anapitia supermarket ananunua analeta nyumbani.
Leo siku ya nne anakosea kutuma meseji badala atume kwa mama anatuma kwangu. Meseji sio nzuri, ni meseji za mapenzi na nyingine matusi. I find it really disrespectful, sitakiwi kujua mambo wanayofanya wakiwa wenyewe.
Je nimwambie kama anakosea kutuma au ninyamaze maana mi sitaki kuona meseji zake kama hizi.
Nifanye nini?
Maneno ya (h)ovyo ndiyo yapi?Angalia hizo sms zinamhusu nani?Ww au mzaz wako. Km ww mwambie tena leo leo, ukikaa kimya ataona hata ww unafurahia ndio maan umekaa kimya. Km zinamhus mzaz wako sikilizia kwanz mpaka zifike siku 10 ukiona bado anatuma anafany maksud km kukosea huwa ni mara 1 au 2 lkn hazid hapo. Mpe makavu live anafany maksud tu.Ukiwa mtu mweny hekima na busara huwez kutumia maneno ya ajabu ajabu hat km unamtumia mwandani wako. Kuna tafsida unaweza tumia peny k unaweka tunda, pipi n.kmm ilishawah kunikuta badala nimtumie wife nikamtumia mama mkwe. Wife akanipigia simu kuunilza umemtumia mama sms gan? kuja kushtuka duh! Fasta nikampigia mama mkwe nikamuomba msamaha, sms ilikuwa ya mapenz. uzuri mm huwa sina tabia ya kutumia maneno ya ovyo ovyo sbb najiheshimu na ni mwanaume ninayejielewa na pia wife nimwelewa sana. Kutumia maneno ya ovyo yanashusha heshima sana, unaweza ukaona kawaida lkn yana negative impact kubwa sana.
Mmhh mimi naona huyu mtoto kama anammendea baba yake. Sikutwa baba yake akawa Dadi Faki wa kule visiwani😉😀😀Vip alishaanza kukupenda [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu
mkuu hawaeleweki hawa,ameanza kupendwa analalamika tenaVip alishaanza kukupenda [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu
hata sijakuelewa ww! sidhan kama ni baba yako mzazi huyo! kama ni kweli sioni shida kumwambia baba yako kama anakoseaBaba yangu akiwa anatoka kazini anajua mi nakua nipo nyumbani. Ananiuliza nyumbani nini hakuna namuandika kwa meseji anapitia supermarket ananunua analeta nyumbani.
Leo siku ya nne anakosea kutuma meseji badala atume kwa mama anatuma kwangu. Meseji sio nzuri, ni meseji za mapenzi na nyingine matusi. I find it really disrespectful, sitakiwi kujua mambo wanayofanya wakiwa wenyewe.
Je nimwambie kama anakosea kutuma au ninyamaze maana mi sitaki kuona meseji zake kama hizi.
Nifanye nini?
Hiyo ni moja ya thread yako wewe mtoa mada! Ain't you a zombie!?akirud nyumban lazma aniulze naendeleje shule. cku hz aniulzi anifat chumban. jna wakat tunakula akawaulza wadogo zngu wanaendeleaje shule mi ajaniulza ktu chochote. aniulzi chochote. maa anaona asemi ktu ananyamaza tu roho inaniuma sna nfanye nn anpende km zaman
Meseji zenyewe zinasemaje?hawez kunitumia mesej km hizi