Meseji ya mauaji ya Barlow yanaswa

Meseji ya mauaji ya Barlow yanaswa

Jamani tuache story za vijiweni..kampuni ya simu haiwezi kuijua IMEA number yako...kipindi cha simu za analogy ilikuwa rahisi kwa kampuni ya simu kuifunga handset yako kama umeibiwa kwa kuwa walikuwa na record ya number na IMEA yako lkn kipindi hiki cha DIGITAL mambo yamekuwa tofauti kwa kuwa makampuni ya simu sio watengenezaji wa simu ndio maana ukiibiwa simu ukitaka kuifunga wanakuuliza IMEA number yake kama unaijua......wenzetu waingereza wamesema wana mpango wa kuanza kuwakamata/kufuatilia nyendo za wezi kwa kutumia GPS
 
Mimi nashangaa sana jinsi polisi ilivyoonyesha uharaka na uwezo wake katika suala hili. Kabla ya hili yako mashauri kibao ambayo bado hatujasikia kauli thabiti ya jeshi; Dkt Mwakyembe na Mh. Sitta wanatuhuma yao ya muda mrefu juu ya jaribio la kumuua/kumduru Mwakyembe!.....na lile suala lenye ukakasi juu ya mauaji ya morogoro katika maandamano ya CDM. Hata lile suala tata la Arusha na Dkt Ulimboka.POLISI MNATUTIA MASHAKA
 


Hapana hausiki anaposema kupitia simu ya dorothy wanamaanisha ni Handset tu kumbuka wale so called majambazi walimnyang;anya simu wakatupa line kwahyo walichomeka line yao(
hapo ndio walipokosea) so kupitia line yao iliyochomekwa kwenye simu ya mwalimu dorothy ndio ikawa rahisi kufatilia hyo namba(iliyochomekwa kwenye simu ya mwalimu dorothy) ndio wakagundua hizo message,umeelewa?

Hawakukosea, walipatia ili waweze kukamatwa. au wakikamatwa inakukera? hivi majina yao unayo? kama hauna sema nikutajie. ila kwa utangulizi wakurya 4, mhuya mmoja.
 


Hapana hausiki anaposema kupitia simu ya dorothy wanamaanisha ni Handset tu kumbuka wale so called majambazi walimnyang;anya simu wakatupa line kwahyo walichomeka line yao(hapo ndio walipokosea) so kupitia line yao iliyochomekwa kwenye simu ya mwalimu dorothy ndio ikawa rahisi kufatilia hyo namba(iliyochomekwa kwenye simu ya mwalimu dorothy) ndio wakagundua hizo message,umeelewa?

Hivi tunaiumbaumba hii habari ya tukio la huyu Bwana kwa faida ya nani? Mimi nadhani mbali na ukweli uliopo kuwa kauawa kwa sababu ya uzinzi, tusubiri usanii wa polisi ili historia ya tukio ifike mwisho
 
Hivi tunaiumbaumba hii habari ya tukio la huyu Bwana kwa faida ya nani? Mimi nadhani mbali na ukweli uliopo kuwa kauawa kwa sababu ya uzinzi, tusubiri usanii wa polisi ili historia ya tukio ifike mwisho
Mkuu mie nilikua nafafanua tu jinsi wauaji walivyokamata sina tatizo na nini kilichosababisha mauaji ila ukiunganisha dots ni kweli hicho kifo kinahusiana na wivu wa kimapenzi na sio kesi kama uzi m1 hivi ulivyodai kwani mambo ya kesi yanakuwa handled na mahakama.
 
Hawakukosea, walipatia ili waweze kukamatwa. au wakikamatwa inakukera? hivi majina yao unayo? kama hauna sema nikutajie. ila kwa utangulizi wakurya 4, mhuya mmoja.

Nimefurahi walivyokamatwa ila hao majambazi inaonekana sio pro ndio maana hawakuwa smart,unamaanisha nini unavyosema wakurya? Hao ni Hitmen tu.....
 
Nimefurahi walivyokamatwa ila hao majambazi inaonekana sio pro ndio maana hawakuwa smart,unamaanisha nini unavyosema wakurya? Hao ni Hitmen tu.....

majina ya waliotajwa ambao kwa namna upelelezi unavyoonesha, kesi hii inawamaliza. wanne wakurya, mmoja mhaya
 
waache uchunguz wa kis.enge. Huu ni uzizi tu.
 
kukuelewesha tu IMEI unayotumia wewe ipo kwenye database ya mtandao wako unaoutumia,kuipata imei yako wanatumia namba yako kuangalia kwenye system na kupata informations zako,swala la kwanza katika upelelezi wowote ni simu,mtu yeyote akipata matatizo kama hayo swala la kwanza kuangalia ni cm,kwakuwa wale wezi waliiba simu so ilikua rahisi sana kuwapata,IMEI ya Mwalimu hawakuwa nayo maaskari b4 bali waliifatilia kwenye kampuni husika ili kupata imei hili iwe rahisi kuwakamata hao majambazi.....
Waelimishe hawa mavuvuzela, kama NP hawajui kitu.
 
Back
Top Bottom