utandawazi unatuletea madomo zege kibao ase raha ya mtongozo nikuone huko usoni
hahha usikute na msg anaandikiwa na babake, ye anaenda kugegeda tu siku yenyewe....
Domo zito afu hujiamini....
kilaza
Sawa Okol wewe ambaye siye kilaza!!
njoo nkupe mistar hatar ya face tu face.
haya evelyn salt toa namba tuone kama utachomoa!! Mbinu tu hizo za mafanikio