alafu mwajua nyie vijana saa nyingine mnawalaumu wanawake bure tuuu....haya mambo yote sii yapo mikononi mwako. tena sie wanaume tumependelewa sana unachagua mwenyewe demu gani wakuwa na mahusiano nae, unlike ladies mpaka watongozwe. sasa first of all know what u want in a lady na ndio utaweza kupata mwanamke unaeendana nae. sasa kama wewe upo kama mzabzab i.e kugegeda basi wee jichukulie demu gonga then sepa. wanawake wapo wa aina nyingi kitabia so wewe ni uchaguzi wako...dnt blame her ndivyo alivyo na huwe mbadilisha. poor judgement yako ndio imekuingiza huko.