donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Huyu jamaa nliana kumsikia kitambo kidogo, I wasn't sure kama yuko serious na game nilimuona mtoto mmoja tu wakishua wakihindi ambaye akishiba biriani ndio anaandika mistari. I was wrong, jamaa ana punchline matata sana, lyrical flow na contents zilzosimama. Ukisikiliza ngoma kama ya Da Vinci's code aliyomshirikisha cholo brighter lazima utakubali ninachozungumza.
Juzi ameachia ngoma mpya aliyomshirikisha Eli Hekima, Uno na Nikki Mbishi inayoitwa Ni Noma. Aisee jamaa ameflow hatari, one the incredible kapotezwa huko.... "Mazafanta/mazafantin" nyingi sana hamna kinachoeleka. Itoshe kusema kwamba huyu ni mrithi rasmi wa mikoba ya tamaduni music.