Merx Cortez is the most underrated rapper in Tanzania!

Merx Cortez is the most underrated rapper in Tanzania!

Mex ni mc hatari Sana ana punch na flow Kali Sana nimemfatilia Sana kwenye castle lite unlock akaze buti aendelee kuipeperusha bendera yetu wapenda hip hop

Ila pia kuna jamaa mmoja anaitwa ghafla bin vuu aisee ni handaki la flows nilimsikilizaga kwenye dakika kumi za maangamizi za east Africa redio jamaa anaandika Sana na ana pumzi Sana maana uandishi wake ni ule wa kimapokeo anawakilisha mitaa vyema kabisa ngoma zake zinasadifu mitaa yetu I wish siku apate upenyo akamate main stream tutainjoi Sana sisi wa tasnia yetu ya hip hop all the best ghafla
 
Back
Top Bottom