Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,144
- 2,000
nimejaribu, mods wanisaidie but LexAid unataka isomekeje?Rekebisha Topic tittle yako basi...(Nakunong'oneza)
hahahahah nimezipenda hizo picha. Hasa hiyo ya kwanza
nimejaribu, mods wanisaidie but LexAid unataka isomekeje?
aisee moshi nauli imepanda balaa..
Unapo-edit tumia advanced mode utaweza kurekebisha hiyo title
nimejaribu, mods wanisaidie but LexAid unataka isomekeje?
Mary Crisis and Sad New Fear
huna adabu, jina la sherehe ya watu huwezi kuita crisis and fear imekuwa ukristu ni ugaidi eti?
tafakari muktadha
[h=2]Mary Crisis and Sad New Fear[/h]
Nitafakari huu upu.mbavu? hii ni kejeli kwa ukristo na wakristo
wewe unaona akiri kupinduwa neno la dini/imani ya wengine na kulifanyia mzaha?
wewe unahitaji tiba maalum, u wapi ukristo hapo.......
Soma kilichoandikwa ndani ya picha ulioiweka kisha oanisha na hii kauli yako - Kisha tafuta definition ya sentensi
hizi mbili umpatie mkristu na kumwambia zinamaana sawa. Ulikuwa na maneno mengi ya hekima kuyatumia sio hicho
ulichokiandika
Mary Crisis and Happy Newr Fear
![]()
Mary Crisis and Happy Newr Fear
basi nimeamua kuwa mpole mkuu, nimewaomba mods wanisaidie kubadili tittle
Thanks for your response and correction. This is what can be focused as an act of a great thinker.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us