Merry Christmas to all member of JF !!!

Merry Christmas to all member of JF !!!

Heri ya christmas na mwaka mpya ingawaje umesema huko hakuna makitu hayo!
 
Colossians 1:16 NLT

for through him God created everything in the heavenly realms and on earth. He made the things we can see and the things we can’t see— such as thrones, kingdoms, rulers, and authorities in the unseen world. Everything was created through him and for him.
 
asante,hakuna asiyechumia tumbo na kama kungekuwa hakuna wachumia tumbo sidhani kama kungekuwa na haja ya kuwa na vyoo.
Vyoo vinajengwa ili kuweza kutoa kile binadamu amekichuma na kukila na kumbuka"asiyefanya kazi na asile"

mungu aendelee kukupa nguvu na amani,upendo na ukarimu kwa ndugu,jamaa na marafiki zako,chuki unayoionyesha kwangu usi-ionyeshe kwa familia yako,kwani utasababisha sikukuu hizi mbili ziwe mbaya kwao.

jibu lako nimelipnda sana, huyu macho_mdiliko anaudini wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom