Merry Christmas to all member of JF !!!

Merry Christmas to all member of JF !!!

Maandalizi ni motomoto sana.....Merry Chrstimass mkuu..

tunamiss haya mambo nyumbani,ugenini tabu wadau,huwezi amini,hapa nilipo hawajamaa siku ya christmas ni siku ya kazi na mwaka mpya pia,wao wana mwaka mpya wao na hawanashamla shamla za christmas,lakini nashukuru nitaendelea kupata harufu ya pirau hapahapa JF
 
...na wewe pia!

"wakuu leo kisa kilichonikuta, nimeenda kununua nyama ya kupikia pilau ya sikukuu kesho; kilo 8 nilipimiwa buchani' nilipokwenda kupima dukani ikagundulika kuwa ni kilo 6. Nimerudisha hiyo nyama kwenye hiyo bucha wakaiongoze 2kg zilizopungua bila ubishi
Wadau kuweni makini mnapokwenda kufanya manunuzi ya vitu vya sikukuu!!!

Pole sana mdau,
kweli ule usemi wa mbuzi hula kulingana na urefu wake si wa kubeza,maana jamaa walisha kupiga kilo 2 hapo na ungegombana na mpishi kala nyama ama kagawa kumbe tatizo limeanzia buchani,mungu yu mwema,amekupa uwezi wa kuwagundua wezi wako na kibaya walitaka kuiba nyama itakayopikwa siku ya Noel,siku njema kabisa.
 
asante,hakuna asiyechumia tumbo na kama kungekuwa hakuna wachumia tumbo sidhani kama kungekuwa na haja ya kuwa na vyoo.
Vyoo vinajengwa ili kuweza kutoa kile binadamu amekichuma na kukila na kumbuka"asiyefanya kazi na asile"

mungu aendelee kukupa nguvu na amani,upendo na ukarimu kwa ndugu,jamaa na marafiki zako,chuki unayoionyesha kwangu usi-ionyeshe kwa familia yako,kwani utasababisha sikukuu hizi mbili ziwe mbaya kwao.

Kuna watu watatu ambao wamefanana kama mayai kwa tabia ya kutaka sifa za kijinga, kujipendekeza na kuchumia tumbo (kuchumia tumbo=tabia ya kuwa tayari kufanya lolote ili mradi umebakiziwa makombo): Chris Lukosi, Jerry Slaa (meya wa Ilala) na wewe!
 
pole sana
 
tunamiss haya mambo nyumbani,ugenini tabu wadau,huwezi amini,hapa nilipo hawajamaa siku ya christmas ni siku ya kazi na mwaka mpya pia,wao wana mwaka mpya wao na hawanashamla shamla za christmas,lakini nashukuru nitaendelea kupata harufu ya pirau hapahapa JF
mkuu upo china nini hahaaaaaaa wenzako tunapiga kipunga kesho sio harufu tena,btw all da best mkuu
 
Nawe pia mkuu,tukumbuke pia kuomba afya itakayo weza kutuweka hadi mwaka mwingine ili tuweze kukamilisha pale tulipo shindwa kwa mwaka huu.
 
mkuu upo china nini hahaaaaaaa wenzako tunapiga kipunga kesho sio harufu tena,btw all da best mkuu

hahahahahaha
hawa jamaa bwana wanatunyima raha kwakweli
nimezoea bongo natembea na pilipili na ndizi yangu ktk mkoba,ukipata kaharufu ka ubwabwa tu unapiga hodi,lakini huku bwana hakuna sherehe ni tunapiga kimya kimya
 
tunamiss haya mambo nyumbani,ugenini tabu wadau,huwezi amini,hapa nilipo hawajamaa siku ya christmas ni siku ya kazi na mwaka mpya pia,wao wana mwaka mpya wao na hawanashamla shamla za christmas,lakini nashukuru nitaendelea kupata harufu ya pirau hapahapa JF

Hahahah pole mdau nipo moshi full folen kaka ,najiandaa kwenda kijiji muda huu.
 
Kwani wewe ni shetani?matusi kashifa za nini?nahisi wewe ni pepo au jini flani

asante sana Kibo
binadamu tumetofautiana jamani,huyu bwana inawezekana leo kaamka mguu mmoja upo shingoni,tuendelee kumwombea kwa mungu ili aweze kuwa ktk hali nzuri kifya na aweze kusheherekea sherehe hizi kwa amani
 
Back
Top Bottom