Wadau wote wa jukwaa la uchumi, wapambanaji wote, waumini wote wa kesho bora, wafuasi wa mawazo chanya, timu ya JF na wadau wengine , kwa niamba ya film Evigt_water tunawatakia christmas njema na mwaka mpya wenye furaha.
Bila kuwasahau wateja waliotusupport kufika tulipo,ASANTENI SANA.
Dini ni mitazamo tu, kikubwa sisi ni watanzania, tupeane support kwenye hali zote kama tusivyo bagua misiba basi tusibague sherehe pia, ukialikwa #KAFINYE TU
dah leo nimepiga kazi Sana navibarua wangu.mmoja anaitwa joni mwingine ana.hapa nimechoka balaa. vibarua wangu nimewaacha wanamalizia kazi.napunzika ijumaatu.nasikikuu zakiislamu.
dah leo nimepiga kazi Sana navibarua wangu.mmoja anaitwa joni mwingine ana.hapa nimechoka balaa. vibarua wangu nimewaacha wanamalizia kazi.napunzika ijumaatu.nasikikuu zakiislamu.
Wadau wote wa jukwaa la uchumi, wapambanaji wote, waumini wote wa kesho bora, wafuasi wa mawazo chanya, timu ya JF na wadau wengine , kwa niamba ya film Evigt_water tunawatakia christmas njema na mwaka mpya wenye furaha.
Bila kuwasahau wateja waliotusupport kufika tulipo,ASANTENI SANA. View attachment 2456887View attachment 2465163