beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
thank uuu dear yan memic arthur pendragun,gweanevea, merlin mwenyewe n gayas without forget soccorers stuffz
hey guyz hv where nitapata epsd 13 ya merlin season 4
Hahahahahaa.., hawa viumbe utadhani ni mapacha., Bila kumsahau Lady Morgana, huyu kanifundisha kuwa mtu anaweza kuwa mpole na muoga kuliko lakin akabadilika na kuwa Mtu mbaya kuliko ubaya wenyewe..!!
Sikufahamu kwamba kuna series kama hiyo....zinapatikana kwa stores hapa dar?! anyway, let me try to check for it manake ndo ugonjwa wangu huo!
Sun wu me mich uu muchKama unapenda hii basi nadhani wakati unangoja season 5; unaweza kuangalia Once Upon a Time..; lakini at the moment ukiniuliza the best series (actors including plot) ni Person of Interest na Fringe (to name just a few)
Nadhani hapo utaona connection ni (J. J. Abrahams) the genius behind the creation of Lost..