Meridian betting

Meridian betting

fnyinge

Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
22
Reaction score
38
Hiv mwenye kujua turbo payout inafanya kazi vipi naomba atiririke hapa
 
Endapo umebet timu zaidi ya tano na katika timu hizo timu tatu zimesha toa matokeo ambayo wewe uliyataka yawe hivyo ulivyo bet wewe unazizidisha zile odds za zile timu zilizocheza ukimaliza unazidisha tena kwa kiasi ulichoweka jibu utakalo pata ndio hela ambayo unapaswa ulipe na cashier

Note hakikisha hakuna timu ambayo iko uwanjani inachezwa unaweza Fanya turbo payout kwa timu zilizo to a matokeo na katika ticket yako kusiwe na timu ambayo bado iko kiwanjani
 
Back
Top Bottom