Na sasa tunaye bingwa wa kutumia vyombo vya dola aliyekubuhu kuzima ukosoaji...yeye kaamua kutumia JWTZ, Usalama wa Taifa, Jeshi la Polisi, Uhamiaji, Magereza kujilinda eti dhidi ya wananchi, really? Fikiria risasi zaidi ya 38 kuzima sauti ya Mh. Tundu Antiphas Lissu. Na kilicho kibaya zaidi ni namna anavyotumia na mihimili mingine ya dola kulinda utawala wake wa kibabe na kiimla.CCM inalitumia Jeshi ili kufanya ufisadi ambao hauwezi kuwa audited
Ni Kweli kabisa. Kama chadema iliweza kuwakaribishia Lowassa, Sumaye, Kingunge na genge lao lote na sasa Nyalandu huku Dr. Slaa akifukuzwa kama mbwa...
Wewe huchangii chochote ideawise, upo upo tuu kishabiki miaka nenda rudi humu ndani, instead of changing for better, unarudi kinyumenyume tu eerday!.Ila leo mnajiliza kwamba mmemmiss! Bavicha aisee!!
Kamanda mbona umepaniki Sana?Wewe huchangii chochote ideawise, upo upo tuu kishabiki miaka nenda rudi humu ndani, instead of changing for better, unarudi kinyumenyume tu eerday!.
Nionyeshe nilipomsifia, otherwise wewe ni mvivu wa kusoma na kichwa mbayuwayu!
Watu kama wewe mmekuja kuijaza dunia bila sababu. Yani ni useless kwa kiasi kikubwa sana. Kila siku umekariri tu maneno kama vile “bavicha”, “makamanda”, hapo basi unajiona very smart maskini ya Mungu.
Ndo mitanzania kama wewe iliyofikisha Taifa tulipo. Sijui huna kazi au kitu gani?
Hata Kama umestaafu si una wajukuu uwasaidie hizo pesa unazochezea kununua data na kuja umwaga diarrea humu?
Uuzwaji wa nyumba za serikali muulizeni Sumaye akiwa Waziri Mkuu..ni kweli kabisa. Kama ambavyo ccm inavyolikumbatia jizi la nyumba za serikali, na fisadi lililonunua kivuko mkweche, na lililokurupuka kuvunja mikataba kinyume cha sheria na kusababisha hasara ya mabilioni.
We unaona namba ya kupanick hii? Ogopa mtu asiyelamba viatu vya mtu yoyote yule. I call it how I see it. CCM haiwezi kuwa nzuri all over a sudden ndo nlichogunduwa. Hata aje ambaye ni malaika agombee kwa ccm ni yaleyale tu. Nilikosea nikidhani akija wa tofauti kutakuwa na mabadiliko. Kumbe nilichemsha. Wewe ni ushabiki tu. Si ajabu hata kura hukupiga wewe.Kamanda mbona umepaniki Sana?
Uuzwaji wa nyumba za serikali muulizeni Sumaye akiwa Waziri Mkuu
Uuzwaji huo ulikuwa Ni uamuzi wa Baraza la Mawaziri...sawa.
..cdm wamuulize sumaye.
..ccm waliulize jizi-kubwa lao lililokuwa wizarani wakati nyumba zikiuzwa.
..pia mliulize jizi kuhusu ununuzi wa kivuko mkweche ambacho mpaka leo hakijulikani kilipo.
Uuzwaji huo ulikuwa Ni uamuzi wa Baraza la Mawaziri.