ONTALIO BOY jamaa wa FX teh teh teh ...nilivo ona thread hii nimecheka sana wengi wamefaidika na wengine wengi sana kupitia FX umewapoteza
HahahaAisee sipendi matapeli!I really hate them with passion!
F**ck'em!
Ukiona mtu anaanza na mbwembwe za "nimesoma vitabu 86...."Majitu yenye grandiosity namna hii hua ni magonjwa ya schizophrenia.
Acha utapeli na ukatubu!
Matapeli ni matapeli tu. Hata yaongee buzz words namna gani!
Ontario you are a pretender.You are trying hard to sound intelligent but you have been debunked to be a fraud in and out!
Majizi bwana
Wa kwanza upi huo? na mimi niusomeni bonge la uzi naupa namba 2 katika uzi best nilizosoma
Tatizo watu mnaojiona MNA akili Mara nyingi IQ zenu ndogo sanaIt will be an insult to my level of intelligence kukujibu dawa ya kienyeji kama ww
ofcoz huu uzi ipo siku mtaukumbukaYani kuna watu wanapinga tuuh hoja hawana jaman
Once your mind is conquered you are going nowhere
Sent using Jamii Forums mobile app
BA Archaeological studiesHaya vijana acheni sijui kutafuta credit sijui ukasome HKL mara sijui ualimu, dunia inazidi kutanuka.
Nendeni Veta na vyuo vya Computer Science mkachukue maujuzi ya "IT" maana ndio kozi pekee iliyobaki inayoweza kukusukuma kwa siku za mbeleni ila uwe mjanja mjanja na wa kujiongeza.
Shukrani mkuu.