Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Basically nakubaliana sana kuwa the future in pleasing....mambo mengi tayari yako kwenye mabadiliko makubwa.

LAKINI mwanadamu ili aishi anahitaji nini hasa...nadhan anahitaji chakula, malazi, ngono...mavazi na taarifa/elimu sahihi.

Pamoja na changamoto zote zilizopo...kama mtu au watu wataweza kumeet hayo hapo juu....then there is less to fear. Vitu vingi tunavyofaitia kwa hakina ni nyongeza tu katika tunavohitaji.

Inawezekana nafanya oversimplification....lakin naamini katika kujizalishia chakula zaidi kuliko kuhofu ajira zitakuwaje miaka ijayo....by the way lazma kutakuwa na fao la kusastain maisha kwa watu walioathiriwa na technolojia...!
 
Aisee sipendi matapeli!I really hate them with passion!

F**ck'em!

Ukiona mtu anaanza na mbwembwe za "nimesoma vitabu 86...."Majitu yenye grandiosity namna hii hua ni magonjwa ya schizophrenia.

Acha utapeli na ukatubu!

Matapeli ni matapeli tu. Hata yaongee buzz words namna gani!

Ontario you are a pretender.You are trying hard to sound intelligent but you have been debunked to be a fraud in and out!

Majizi bwana

Hahaha
 
Imagination!! Hakuna kuogopa miaka ya nyuma tuliogopa sana computer ila sasa ni ajira nzuri sana...pamoja na yote hayo still bado kutakua na fursa kwenye hizo hizo teknolojia zijazo
 
Dogo yupo sawa sana ila kuna watu wana roho mbaya sana wana wivu wa kike
 
It will be an insult to my level of intelligence kukujibu dawa ya kienyeji kama ww
Tatizo watu mnaojiona MNA akili Mara nyingi IQ zenu ndogo sana
U are an arrogant fool

An intelligent man hawezi argue kwa taarabu seriously u call your self intelligent I have been reading ur comments for a while all I see is a fool who believes he is sooo smart !!

Take ur time buddy learn abt things before u draw irrelevant conclusions



I can I assure you that the level of intelligence u have is below average ( forgive me if u will take it as an insult )

But go back to school and try to learn things.
 
Haya vijana acheni sijui kutafuta credit sijui ukasome HKL mara sijui ualimu, dunia inazidi kutanuka.

Nendeni Veta na vyuo vya Computer Science mkachukue maujuzi ya "IT" maana ndio kozi pekee iliyobaki inayoweza kukusukuma kwa siku za mbeleni ila uwe mjanja mjanja na wa kujiongeza.

Shukrani mkuu.
BA Archaeological studies
 
Huku Uzi urudiwe kukomenti wageni nao wapate hapo mkate Wa kijana wetu aliyewatoa watu kwenye nuru kuwapeleka kwenye GIZA.
 

Similar Discussions

233 Reactions
Reply
Back
Top Bottom