Habari za weekend wana ndugu! Naomba ushauri na uzoefu wenu wa magari hayo apo juu interms ya operational na maintenance cost! Lengo ni kutaka kuwakimbia toyota! Nashukuru!
Ferester usiseme mkuu, spare zake ni ghali mno!benzi ni benzi mkuu!! Spare parts zake zipo juu!!
Subaru Foresta/Imprezza
Sijaelewa unazungumzia interms of cost au vipi mkuu ila Subaru wapo cheap!!
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu!
OkHabari za weekend wana ndugu! Naomba ushauri na uzoefu wenu wa magari hayo apo juu interms ya operational na maintenance cost! Lengo ni kutaka kuwakimbia toyota! Nashukuru!
Kama spare ipi bei ghali?Ferester usiseme mkuu, spare zake ni ghali mno!
Kama hauko makini utaiweka juu ya mawe.
Acceleration ya Subaru in sensors tu, hamna cables.Kama spare ipi bei ghali?
Umeulizwa spare gani bei ghali?Acceleration ya Subaru in sensors tu, hamna cables.
Ikiwa out of sync utajuta kuwa na Subaru.
Engine za Subaru ni next phase!
Nimeambiwa piston zake ni horizontal prpulsiin kutokana na historia yake kuwa originally zilikuwa za ndege.
Mafundi wa Subaru generally ni wachache sana.
Ila Subaru ikiwa order utaipenda.
Mimi nimekuwa na SH5, SG5.
Inategemea unataka kuuliza soare gani.Umeulizwa spare gani bei ghali?
Nime-refer comment ya kwanza ulosema Spare za subaru bei ghali, unaweza kuipack. Naomba mifano hata mitatu ya hizo spares za subaru ambazo zinauzwa bei ghali?Inategemea unataka kuuliza soare gani.
Spare engine?
Spare za AC compressor?
Spare lens
Vyote vina bei yake lakini si kama spares za Corolla.
Acha kuruka ruka mkuu...sema spare yoyote bei yakeInategemea unataka kuuliza soare gani.
Spare engine?
Spare za AC compressor?
Spare lens
Vyote vina bei yake lakini si kama spares za Corolla.
Acha kuruka ruka mkuu...sema spare yoyote bei yake
Nitafutie Pedal assy na sensor zake.Nime-refer comment ya kwanza ulosema Spare za subaru bei ghali, unaweza kuipack. Naomba mifano hata mitatu ya hizo spares za subaru ambazo zinauzwa bei ghali?
Ebwana 70K mpaka 280K kuna gape kubwa sana. Ni lazima uwe na uhakika kiuchumi kabla haujamiliki gariNitafutie Accelerator Pedal assy na sensor zake.
Fundi kaniambia 280,000, kama una mahali utapata kwa nafuu nijulishe hapahapa duka lilipo.
Sitaki used.
Za toyota aina nyingi hazizidi 70,000.
Subaru Forester Cross Sports 2.0T, SG5, mwaka 2003.
Changamka mkuu!
Nawasubiria kwa jibu wakuu!Nime-refer comment ya kwanza ulosema Spare za subaru bei ghali, unaweza kuipack. Naomba mifano hata mitatu ya hizo spares za subaru ambazo zinauzwa bei ghali?
SI kweli kwamba ni ghali mi namiliii ila kama ni spare zinakua genuine sio zile za kuchonga kwa mtogoleFerester usiseme mkuu, spare zake ni ghali mno!
Kama hauko makini utaiweka juu ya mawe.