Habari za weekend wana ndugu! Naomba ushauri na uzoefu wenu wa magari hayo apo juu interms ya operational na maintenance cost! Lengo ni kutaka kuwakimbia toyota! Nashukuru!
nunua c180 kuanzia 2004...ndio cheapest merc saloon class.....very economical na spare bei sio kubwa kivile....
![]()
Ferester usiseme mkuu, spare zake ni ghali mno!benzi ni benzi mkuu!! Spare parts zake zipo juu!!
Subaru Foresta/Imprezza
Sijaelewa unazungumzia interms of cost au vipi mkuu ila Subaru wapo cheap!!
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us