Mercedes benzC180/ subaru foresta

LACHERO

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
478
278
Habari za weekend wana ndugu! Naomba ushauri na uzoefu wenu wa magari hayo apo juu interms ya operational na maintenance cost! Lengo ni kutaka kuwakimbia toyota! Nashukuru!
 
benzi ni benzi mkuu!! Spare parts zake zipo juu!!

Subaru Foresta/Imprezza

Sijaelewa unazungumzia interms of cost au vipi mkuu ila Subaru wapo cheap!!
 
Benz ni classic huwa inaitwa benz ila vigaro vingine vyoote ni saloon na ndo mana no taxi subaru ni mashine ya ukweli kama unataka mwendo barabatani
 
Habari za weekend wana ndugu! Naomba ushauri na uzoefu wenu wa magari hayo apo juu interms ya operational na maintenance cost! Lengo ni kutaka kuwakimbia toyota! Nashukuru!

nunua c180 kuanzia 2004...ndio cheapest merc saloon class.....very economical na spare bei sio kubwa kivile....

images
 
benzi ni benzi mkuu!! Spare parts zake zipo juu!!

Subaru Foresta/Imprezza

Sijaelewa unazungumzia interms of cost au vipi mkuu ila Subaru wapo cheap!!
Ferester usiseme mkuu, spare zake ni ghali mno!
Kama hauko makini utaiweka juu ya mawe.
 
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu!

Go for benz, c class is for the common man/entry level, in terms of bei and maintenance costs

Ila kama unaagiza agiza ya 2007, anything less than that TRA watakulima uchakavu,

Watakwambia ni ya year 2002 mwaka ambao hilo toleo hapo juu lilianza kutoka

Otherwise it's a good runner
 
Kama spare ipi bei ghali?
Acceleration ya Subaru in sensors tu, hamna cables.
Ikiwa out of sync utajuta kuwa na Subaru.
Engine za Subaru ni next phase!
Nimeambiwa piston zake ni horizontal prpulsiin kutokana na historia yake kuwa originally zilikuwa za ndege.
Mafundi wa Subaru generally ni wachache sana.
Ila Subaru ikiwa order utaipenda.
Mimi nimekuwa na SF5, SG5 na sasa nina SH5 Forester zote.
 
Acceleration ya Subaru in sensors tu, hamna cables.
Ikiwa out of sync utajuta kuwa na Subaru.
Engine za Subaru ni next phase!
Nimeambiwa piston zake ni horizontal prpulsiin kutokana na historia yake kuwa originally zilikuwa za ndege.
Mafundi wa Subaru generally ni wachache sana.
Ila Subaru ikiwa order utaipenda.
Mimi nimekuwa na SH5, SG5.
Umeulizwa spare gani bei ghali?
 
Inategemea unataka kuuliza soare gani.
Spare engine?
Spare za AC compressor?
Spare lens
Vyote vina bei yake lakini si kama spares za Corolla.
Nime-refer comment ya kwanza ulosema Spare za subaru bei ghali, unaweza kuipack. Naomba mifano hata mitatu ya hizo spares za subaru ambazo zinauzwa bei ghali?
 
Acha kuruka ruka mkuu...sema spare yoyote bei yake

Nime-refer comment ya kwanza ulosema Spare za subaru bei ghali, unaweza kuipack. Naomba mifano hata mitatu ya hizo spares za subaru ambazo zinauzwa bei ghali?
Nitafutie Pedal assy na sensor zake.
Fundi kaniambia 280,000, kama una mahali utapata kwa nafuu nijulishe hapahapa duka lilipo.
Sitaki used.
Za toyota aina nyingi hazizidi 70,000.
Nina Subaru Forester Cross Sports 2.0T, SG5, mwaka 2003.

Changamka mkuu!
 
Nitafutie Accelerator Pedal assy na sensor zake.
Fundi kaniambia 280,000, kama una mahali utapata kwa nafuu nijulishe hapahapa duka lilipo.
Sitaki used.
Za toyota aina nyingi hazizidi 70,000.
Subaru Forester Cross Sports 2.0T, SG5, mwaka 2003.

Changamka mkuu!
Ebwana 70K mpaka 280K kuna gape kubwa sana. Ni lazima uwe na uhakika kiuchumi kabla haujamiliki gari
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom