Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,875
Na wame chanjwaaWatu wanakula mema ya ulimwengu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji57][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wame chanjwaa
Haujaelewa yaani kutoka speed ya O km mpaka 100km inachukua sekunde moja.Km 100 kwa sekunde mbili aiseee Mwanza dar 1hour
We hata rangi yyaa goldi kuipata tabu, labda uipate yya ZAHABU[emoji23][emoji1787]Ngoja fekon yangu nikaipake rangi ya goldi[emoji1787][emoji1732][emoji205]
hio hio nanunua coral paint 🤣We hata rangi yyaa goldi kuipata tabu, labda uipate yya ZAHABU[emoji23][emoji1787]
Usitumie sasa nguvu za giza zitafute kawaidaHalafu unakuta mtu anajifariji kua atakufa kwaio haina haja ya kuutafuta utajiri anaona afe kwa umaskini tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi siku hizi macho yamekufa kwa stress za ufukara.
Mwamposa si ndo hao wa nguvu za giza.Unataka nitumie zipi? Za mwamposa?
We unazozijua ni zipiAmbazo ni zipi! ?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ukiona ni ghali koroga hata tope pakahio hio nanunua coral paint 🤣