juice ya dodoki lazima ina vitamin nyingi......leta hiyo....
juice ya dodoki lazima ina vitamin nyingi......leta hiyo....
Upo tayari kunyonya dodoki hadi litoe juice yenye vitamin?
Hiyo inawafaa ME ni kama supu ya Pwezza!
Ndo maana nikakuchagua nikakupenda my wife wangu!wewe ni mjanja!
menu yetu leo mbugani hotel.chips swala 2000, supu ya mamba 5000, wali simba 7000, snake bite 1000, ugali chui 4000, beef twiga 3000, mshikaki wa nungunungu 800, tembo choma 4500, mchemsho wa fisi 3500, ngiri rost 2500, ndizi sokwe 6000, mayai ya bundi 500, na juicy ya dodoki 300.! karibu sana
ha ha ha ha
jf is never boring kwa kweli
double like.