Mentor utaoa lini...

Mentor utaoa lini...

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,334
Reaction score
23,940
Mentor utaoa lini…
2008, January 28 Jumatatu
Ndo nilikuwa natimiza miaka 26. Kijana mtanashati miaka miwili kazini katika kampuni moja ya vinywaji.
Siku hii bosi wangu alinipa ofa ya a whole crate ya vinywaji..my fellow workers wakaorganize surprise bash for me. Kwa kweli sikuwa nimeitegema kwani birthday yako ikiangukia Jumatatu (kama ya mwaka huu) huwa huna plan yoyote kubwa since unajua the following day ni kazini!

Nilipotoka kazini mshkaji akanipigia simu;
Mike: “Oya Mentor upo wapi?”
Me: “Dah ndo natoka job mtu wangu naenda home tu”
Mike: “Aaah pitia hapa NISIKUONE NA MWANANGU pub bana kuna mshkaji anasema anajua biometric readers vizuri labda anaweza kukusaidia project yako”
Me: “Mh Mike, hatuwezi kutana weekend?”
Mike: “mshkaji mwenyewe si wa kukaa sana ka vipi pitia tu si ndo njia hiyohiyo ya kwenda home mwana?”
Basi bana mbele ya teknolojia? Ikabidi na uchovu wangu nijikongoje hadi pale.

NISIKUONE NA MWANANGU Pub, 1830hrs
Ile naingia tu..nasikia SUUURPRIIISEEE!!! Ndo nikashtuka aaah kumbe its my birthday…I was really surprised kwa kweli but delighted as well...We really drank that night.

Something extraordinary happened…I met a girl.

A very beautiful lady. 23 yrs was her age. A finalist at Muhimbili.

Namimi kwa courage ya birthday boy nikamfuata nikaomba kudance naye. Ofcourse alikubali…haha

Basi kidogo kidogo tukaanza kupiga stori za hapa na pale na hata muziki ulipoisha tukaenda pembeni kuendeleza stori.
Aliniambia kuwa alikuja pale na dada yake ambaye ni co-worker wangu. Basi nikachukua contacts zake tukawa tunaendelea kuwasiliana.

To cut the long story short…
Kidogo kidogo tulizoeana na ilichukua two months tu kuhakikisha amekuwa wangu. Alionesha kunipenda kwa dhati na hata alipomaliza chuo nilimwambia nataka kuanza michakato ya kumfanya awe mke wangu. Alinijibu sentensi ambayo kwa kipindi kile sikulitilia maanani, “Hilo tulishalijua!”

Basi michakato ya kwenda kwao ilianza nikamtumia mshkaji wangu Mike koz alikuwa amenizidi anisaidie kufanya hiyo michakato ifane. Kama kupeleka barua na formalities nyingine.

Nilimvalisha pete (ambayo alisisitiza aichague yeye…kwenye duka specific) na tukawa tunasubiri siku ya harusi tu tuhalalishe mambo.

2010 January 23 Jumamosi
Alikuja kwangu Ijumaa. Tukaenda kuangalia live band ya kina Hamis Mwinjuma…then ikabidi aje kulala kwangu aondoke asubuhi awahi kazini kwani ni nesi na alikuwa zamu siku hiyo.

Basi kwa haraka ya kuwahi job akasahahu simu yake kwangu.
Mida kama ya saa tatu hivi ndo nashtuka kusikia inaita…alikuwa akipiga shoga ake mmoja ivi. Iliita kama mara tatu ikanibidi niipokee tu.

Nikapokea;
Shosti: “We mwanga wa kike nikipiga mimi unajifanya upo na jianaume lako ambalo kama sio mimi usingelipata. Muone kwanza na leo nina maagizo toka kwa mganga wako nimeamua nikuambie kwa mdomo si unajifanya kusoma message hujui! ”

Ilinibidi nikate simu kwa mshtuko…curiosity got the best of me ikanibidi niingie ndani ya simu ambayo kwa muda wote wa mahusiano yetu sikuwahi kuigusa. Nakumbuka kuna kipindi niliishiwa credits ghafla ikabidi nimuombe nimpigie mshkaji akanitaka nitaje namba aandike mwenyewe na nilipomaliza akataka kukata mwenyewe.

Nikazama kwenye messages…
Nilishtuka sana siku ile. Sikujua kama haya mambo bado yapo…ya kwenda kwa waganga? Binti mrembo vile? Na kanisani mbona alikuwa anaenda? Na usomi wake je?..nilijiuliza mambo mengi sana nikakosa jibu..

: kulikuwa na masharti ya kuhakikisha ananipata na ninakuwa mumewe kwa hali yoyote ile
: kulikuwa na masharti ya kuhakikisha anapata pesa kama kuvaa chupi kwa mwezi
:kulikuwa na masharti ya kuendesha gari bila kuvaa chupi
:masharti ya kulala juu ya kaburi (hizi ni siku aliniambia anaenda safari za kikazi)

I have been single since then…

Wasalaam wapendwa,
Mentor.
 
Aisee, sikujua kwamba we can be that desperado!
Pole sana, so bado upo upo una subiri atakayezaliwa umtunze mwenyewe au?

Come on guy, kama vile sio wanaume wote heartbreakers na ndio sio wanawake wote washirikina.
 
Mkuu ameamua kutukatisha tamaa ambao tupo kwenye michakato

Ngoja niendelee kuomba Mungu muumba wa vyote ili mapenzi yake yatimie kwangu.
 
Mentor! is it a story or?em kwanza niambie uliishia wapi na lile timbwili lako la tabata,ulienda kupima?actually am puzzeled!!!!
 
Last edited by a moderator:
kuendesha na gari bila chupi....that is so sexy
wanawake please fanyeni hii bila masharti ya waganga lol

kulala juu ya kaburi? i dont believe it....

wanawake wanampania Reginald Mengi na kumpata bila ya kulala makaburini
na wewe sio Reginald Mengi..lol
 
::
Da Mentor.
Pole sana lakini
Usiache kutumia nafasi unazopata za kuwa na mwenzi kwa kuogopa kivuli ulichopita.
=
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mentor hii ya kuendesha gari bila chupi iko fresh sana mkuu akikutana na kidume kimepewa masharti ya kuomba lift bila suruali........
 
OMG!!! I am speechless!!! Dah!!! May The Lord have Mercy on us and SOS!!! Imagine umeandikiwa kuwa na mtu mwingine alafu huyo mshirikina ndio kakuweka kifungoni kishirikina!! Sooner or later utachoka na kuteseka na hiyo ndoa na yule uliyeandikiwa atakuwa anateseka naye huko aliko maana hutokuwa available for her!! You must had been praying very hard kubamba hilo!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Aisee, sikujua kwamba we can be that desperado!
Pole sana, so bado upo upo una subiri atakayezaliwa umtunze mwenyewe au?

Come on guy, kama vile sio wanaume wote heartbreakers na ndio sio wanawake wote washirikina.

Dada Kaunga , uyasemayo ni kweli ila si unajua Uking'atwa na nyoka siku ukiona mjusi tu unakimbia?

Tatizo kubwa akilini mwangu ni, binti huyu alikosa nini? maana bila uchawi she is beautiful, smart na ana kazi nzuri tu kwenye hospital yenye kumpa experience ya kutosha. Nini hasa kilichompelekea kutafuta waganga? plus she was too young kuanza hayo mambo.

Mkuu ameamua kutukatisha tamaa ambao tupo kwenye michakato

Ngoja niendelee kuomba Mungu muumba wa vyote ili mapenzi yake yatimie kwangu.

Bwana Open-Minded, hahaha..kama da Kaunga alivyosema hapo juu, sio wote but kweli Uombe sana..wangu hadi kanisani alienda...siaminigi mpaka kesho!
 
Last edited by a moderator:
kuendesha na gari bila chupi....that is so sexy
wanawake please fanyeni hii bila masharti ya waganga lol

kulala juu ya kaburi? i dont believe it....

wanawake wanampania Reginald Mengi na kumpata bila ya kulala makaburini
na wewe sio Reginald Mengi..lol

Mkuu The Boss, jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kama mtu angeniambia mchumba wangu alikuwa anaenda kwa waganga ama hakika ningemkatakata na mapanga!

Boss, ni reality kabisa...

Mkuu mentor hii ya kuendesha gari bila chupi iko fresh sana mkuu akikutana na kidume kimepewa masharti ya kuomba lift bila suruali........

Hahah charger na The Boss mmenikumbusha jambo ambalo huwa napenda/nawish sana kulifanya;
- to undress a lady aliyejivika hijab juu mpaka chini
au
- to undress mjeshi!!! now dat is sexy....:yo:
 
wewe vipi ?utanipa lift?

U r so insiting bro...why..is this one of ur fantasies!??

"Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!"

hahahahahaha....Cc: BelindaJacob (if u think i have the weirdest fantasies, come meet The Boss )
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli ukiona mtu yuko single na hajali sana, kuna mengi amepitia na kuepushwa, amegundua usalama ni bora zaidi ya starehe za mapenzi!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mkuu The Boss, jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kama mtu angeniambia mchumba wangu alikuwa anaenda kwa waganga ama hakika ningemkatakata na mapanga!

Boss, ni reality kabisa...

Hahah charger na The Boss mmenikumbusha jambo ambalo huwa napenda/nawish sana kulifanya;
- to undress a lady aliyejivika hijab juu mpaka chini
au
- to undress mjeshi!!! now dat is sexy....:yo:

au kumpiga doggystyle trafic wa kike na uniform zake kwenye majani majani lol
 
ha ha ha..
you are a great story teller Mentor!
ndiyo mambo ya mjini haya lakini...
siku hizi waoaji wamekuwa wachache kwa hivo wadada wanapata stress
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom