Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,586
- 50,683
😅😅kijanaaaaa....Mwandiko wake una vi shorts vingi lol,uwihh,sawa, Eti eeh,
Anapendelea viemoji vya love.
Characters of any girl in texting
😅😅kijanaaaaa....Mwandiko wake una vi shorts vingi lol,uwihh,sawa, Eti eeh,
Anapendelea viemoji vya love.
Characters of any girl in texting
Jamani ngoja nikupatie dea, kuwa mpoleehDea hiyo picha umeenda kuichukua huko ngerengere morogoro au..
Sasa ole wako unadanganyeJamani ngoja nikupatie dea, kuwa mpoleeh
Upo bibie? Lete mastori Shadeeya. Baada ya dk 90 leo kule Kagera itakua zamu yangu kukukera maana najua kitakachowakuta😀😀😀Hawa wengine ndo nawakerrrra tu. 😎
Sesten Zakazaka
Troisième Ceil
Van pebles
Penison
Chumchang Changchum
Bill
Danpol
Don Clericuzio
Sanchez magoli
Mgagaa na Upwa
OKW BOBAN SUNZU
Mnazareth
Faru Kabula
kidunula1
chuma cha mjerumani
🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Hawa wengine ndo nawakerrrra tu. 😎
Sesten Zakazaka
Troisième Ceil
Van pebles
Penison
Chumchang Changchum
Bill
Danpol
Don Clericuzio
Sanchez magoli
Mgagaa na Upwa
OKW BOBAN SUNZU
Mnazareth
Faru Kabula
kidunula1
chuma cha mjerumani
🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Hahahahahahahahah MUNGU IBARIKI Kagera sugar.Hawa wengine ndo nawakerrrra tu. 😎
Sesten Zakazaka
Troisième Ceil
Van pebles
Penison
Chumchang Changchum
Bill
Danpol
Don Clericuzio
Sanchez magoli
Mgagaa na Upwa
OKW BOBAN SUNZU
Mnazareth
Faru Kabula
kidunula1
chuma cha mjerumani
🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Mie nipo Alhamdulillah. Nipo nimejaa tele.Upo bibie? Lete mastori Shadeeya. Baada ya dk 90 leo kule Kagera itakua zamu yangu kukukera maana najua kitakachowakuta😀😀😀
Nipo rafiki. 🤝Awesome. Miss you too
Pamoja Mtani 🤝Asante mtani, nasikia Kalinyo ni tishio kwa kupiga kona
Hahah mtani..Nimekumiss..
Kale katoto bado tunapima ufanisi wake kuona kama atatufaa msimu ujao..Pamoja Mtani
Na mashuti juu. .
Nipo Mtani mambo zilikuwa mingi.Hahah mtani..Nimekumiss..
Leo naona mna jambo lenu jioni,Sisi tunasubiri tu
Nilipanga kuwakerrrrraaaa.Kale katoto bado tunapima ufanisi wake kuona kama atatufaa msimu ujao..
Naona umetuita kwa wingi muda si mrefu tunaenda kuuharibu uzi wa watu
Isijekua mshapitisha muamala kwa Mecky awalegezee, si kwa kujiamini huko🤣😀😀Mie nipo Alhamdulillah. Nipo nimejaa tele.
Hamna kitu wetu wale hivyo huwezi nikerrrraaaaa. 🤣
Wale wakata miwa sijui kama watawaacha salamaNipo Mtani mambo zilikuwa mingi.
Yeees tuna jambo letu bana. Kama nakuona dua zako zilipoelekea.